tujiajir vijana wenzangu tusingoje serikali mana sirikali haina nafas za kutosha tukawekwa
sote, samak toroli watafanya nan
Mkuu mimi nina Business project yangu nataka kuianza tatizo ni mtaji,....naitaji kama milioni 5 ivi embu nishauri nitazipataje wakati sina collateral ya kuombea mkopo benki?:confused2: