Mwanafilosofia
Member
- Jun 14, 2014
- 73
- 33
tetesi kwamb majib ya nafas hiz yametok n kwel?
Nafasi za Tax officer na assistantbwanataka upper second ukiwa na lower means automaticy umedisqualify
[TABLE="width: 100%"]tetesi kwamb majib ya nafas hiz yametok n kwel?
Kijana mdau acha kuongea uongo wapo jamaa zangu nilisoma nao wana lower second na mwingine ana pass mbona wameajiliwa pale mwaka juzi
Kijana mdau acha kuongea uongo wapo jamaa zangu nilisoma nao wana lower second na mwingine ana pass mbona wameajiliwa pale mwaka juzi
Hamna cha GPA wala nini...TRA walishaachana na hizo issue kitambo sana,ukiwa na minimum qualifications system ina ku approve kwa written interview ukajitetee huko,wanaangalia uwezo siku hizi,wameshaona kuna vyuo,mathalani UDSM na IFM GPA zinabanwa tena kimakusudi ilihali watu wana uwezo wakati wanaopewa GPA kubwa chenga tu!
wameshatoa mkuu wamemtumia kila mtu kwenye email adress yake cheki emailjamani hawa tra vip mbona wako kimya tuu, mpaka lini wanashortlist?
Anaejua
Nina Gentleman man,but nimeitwa kwenye usaili!
thats trueFirst class na Upper second nyingi za tanzania ni za vitandani tu