Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona master tactician LVG kashaanza kuona alama za nyakati, EPL si lele mama, ametangaza kuwa Man utd itakuwa timu yake ya mwisho kufundisha halafu ataastafu. Haya EPL inabidi tumuwahishe katika retirement world. Nadhani United wakifungwa mechi 5 ndani ya mechi 18, LVG atafukuzwa.

Soccer News and Scores - ESPN FC
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
good news for man u:according to rojo himself the move to man u is complete and secure. tunaangalia mbele sasa
cc:mburukenge wote
 
Aise mashabiki wa manu tunayo kaz kwel yan baada ya kichapo cha swansea nliishiwa pozi haswa baada ya majigambo mtaan sasa baada ya kupotea toka jmosi jana nkAkutana na jamaa wa arsenal yaan alinipa kicheko na salam ya kinafki hadi nkakosa pozi duuh majanga
 
Aise mashabiki wa manu tunayo kaz kwel yan baada ya kichapo cha swansea nliishiwa pozi haswa baada ya majigambo mtaan sasa baada ya kupotea toka jmosi jana nkAkutana na jamaa wa arsenal yaan alinipa kicheko na salam ya kinafki hadi nkakosa pozi duuh majanga

Elewa kwamba Manchester United ni timu inayopendwa sana kuliko timu yeyote duniani so hili kubalance the situation mashabiki wa arsenal..looserfool..Chelsea na wanafiki wengine wanaojifanya ni mashabiki wa man city uungana kutengeneza kitu inaitwa anti-MUFC so tukifungwa ni furaha yao wote na akifungwa mmojawao wanaumia wote..
#GGMU
 
Wakuu kama mm ndo napata shida kwel wakuu coz ma fans weng walionizunguka ni arsenal,LFC NA Chelsea yan tang tufungwe sna aman kabixa,WANA MANENO YA KARAHA HAO DU
 
Mdudu Nzi pole sn mkuu kwa matokeo ya last weekend
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hawawezi kujibu chochote sasa hivi wako uturuki wanatafuta nafasi ya kucheza uefa, hawajui kitakachowafika
 
Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Sporting Lisbon to sign defender Marcos Rojo, subject to a medical
and personal terms.
A further announcement will be made when the process is complete.

©MUN Official


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ImageUploadedByJamiiForums1408513022.723362.jpg


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bulldog pamoja na kumpata Rojo bado tunahitaji experienced CB kama Hummel na tukimpata Vidal tunamalizia na Di Maria...uwiii wakaanga sumu mbona kazi watafutana mwisho wa msimu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom