Mtoa mada kama ningekuwa na mamlaka ningesitisha kusoma kwake kwani hajui anachokifanya.Wewe kwakuwa umechaguliwa kwenda A-level kwa credit(Cs) wengine tulienda na point nne kwenye combination.Wewe mshukuru Kawambwa enzi zetu kusoma Advance ungekusikia radioni Nyau wewe.