Ni hatua gani za kufuata ili nilipwe baada ya mshatakiwa aliyenigonga na gari kushindwa kesi ya kuendesha gari kwa njia ya uzembe amekwenda jela mwaka mmoja
Harmo alipost ngoma ya tetema kwenye kurasa yake ya ig lakini bado naamini pia harmonize hwako sawa na wcb haswa diamond maana baada ya post si diamond wala rayvanny aliye-react kwa kujibu au kulike post.
Karma is the female dog. Diamond waliomtoa wote kazinguana nao Papaa misifa, Bob Junior...
Tuongee ukweli nyimbo za Kenya na Uganda kuna miaka huko nyuma zilikuwa zinapigwa mpka noma hapa Bongo. Ila nahisi tuligundua tunakosea wapi tukajipanga sasa hivi tumekiwasha tunavuka border na wao waangalie wanapokosea Aiseeh
Wakisimama Aljazera nikiwa naenda Mbeya huwa natoka nje ya Hotel nanunua chips za buku na mshkak jumla 4000, sasa agiza wanaouza ndani mule chips kavu 4000 mshkak elfu tatu.
Wameishiwa hela sijui za kununua wabunge na kufanya uchaguzi mara kwa mara nina uhakika hata waliorudishiwa majimbo 2020 hawapati kitu na swali chochezi ni je mpaka sasa kuna mbunge viti maalum amewah unga juhudi mkono?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.