Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,550
Ni kubadilisha tu ratiba, badala ya kwenda viwanja daily unatoka atleast siku moja ya weekend
Sasa sisi wakongwe acha tuendeleze ulipaji wa kodi kwa kuhudhuria barmkuu bajeti iko vizuri, nimeamua tu niachane na pombe
Hongera sana mkuu kama umefanikiwa hilo, hata mimi mara kwa mara najitahidi kuacha lakini inakuwa kama vile nimechokoza nyuki, yaani narudishwa kwa kasi ya ajabu sana na kiwango cha unywaji kinaongezeka.inawezekana badilisha kampani mkuu, mimi kuna kipindi nilikuwa na lewa ila nilivyo fika UG bwana wewe nilikuwa mlevi hatari kuliko hata bongo, mwili unasoma 100% alcohol kichwani kila sekunde pombe huwezi nikuta niko sober.
akili ya kuacha pombe nilikuwa sina kabisa nilivyo rudi bongo bwana weeeeeeeeee nilikuwa nakunywaa vibaya mno yaa kiasi kwamba bia silewi hata kidogo ni mwendo wa viroba na pombe kali. Na ukiniangalia unaweza sema sinywii. ila saizi fresh
Itakuwa chozi la chuku chuku...unakunywa nini kwa sasa
wanabodi
Kwangu mimi nimenuia kwa mwaka 2019 na kuendelea, kuacha kutumia kileo cha aina yoyote ile (ulevi)
vishawishi na kampani inanizonga sana tangu nilipotangaza azma hii lakini nimeridhiria mwenyewe kuwachana na ulevi maisha
ni wiki ya pili sasa baada ya mwaka mpya nimeitelekeza pombe kabisa
wale tulioacha pombe mwaka huu tukutane hapa, nichangamoto zipi zinatukuta na tutaziepuka vipi ili tusijikute tunarudi kwenye ulevi
Hata mami nimeamua kuachana nazo kabisa toka mwaka Jana mwezi Wa kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kubadilisha tu ratiba, badala ya kwenda viwanja daily unatoka atleast siku moja ya weekend
Usiache kunywa pombe huna pesa acha ukiwa na pesaHata mami nimeamua kuachana nazo kabisa toka mwaka Jana mwezi Wa kumi
Sent using Jamii Forums mobile app