Recent content by Cienfuegos

  1. Cienfuegos

    Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    "Kitabu kilichoandikwa na wahuni" hakiwezi kuwa as perfect na without contradicting statements kwa namna Quran ilivyo. Hicho hakiwezi kuwa refuted hata iweje. Na hata baadhi ya vitu kwenye Quran vimekuja kuonekana kuwa viko exactly kama vilivyoandikwa just in recent years. Hao "wahuni"...
  2. Cienfuegos

    Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Kuna tofauti kubwa kati ya taratibu zinazowekwa na uislam na mila za kiarabu/kiafghani etc. Uislam umeweka emphasis kubwa sana kwenye elimu kwa wanawake na betterment ya social welfare yao in general. It's only in Islam kwanza kuwa mwanamke akiolewa, every need of hers becomes the responsibility...
  3. Cienfuegos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sana mzee! Labda now watakuwa wameimprove...labda!
  4. Cienfuegos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mzee TTCL watu tuna zaidi ya 5 months tangu tujaze form na hawajaja hata kusurvey. Hao jamaa nilishagive up kabisa. Plus customer support mtihani kweli!
  5. Cienfuegos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa Kigamboni kuna jamaa wanaitwa Elmax Networks (instagram wanatumia @elmaxnetworks ). Wana unlimited internet (unanunua speed). Speeds zao ni kuanzia 6Mbps ambayo ni around US $45 (106,000/= hivi) kila mwezi. Speed ni dedicated, sio shared kama ilivyo kwa "unlimited" za mitandao yetu ya simu...
  6. Cienfuegos

    Wako wapi hawa Wasanii?

    Emmanuel Nkulila - The Pain in Me iko YouTube mkuu
  7. Cienfuegos

    Ntaipata wapi hii nyimbo ya emmanuel nkulila??

    Nyimbo ipo YouTube now Ingia hapa:
  8. Cienfuegos

    Jinsi ya kutag

    A de La K
  9. Cienfuegos

    Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Na yule mwingine alibeba nini? Najiuliza tu...mama angekuwa anatoa hotuba misikitini ingekuwaje hivi? (It's unlikely anyways). Hebu tuache udini, tujenge Tanzania moja!
  10. Cienfuegos

    Viongozi wa Serikali wajizuie urge ya kuita Mzungu Beberu

    Beberu ni Kiswahili cha "Imperialist". Na nadhani western countries nyingi zinaqualify kuitwa Imperialist nations. Waziri Kabudi hajakosea hata kidogo [emoji106].
  11. Cienfuegos

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Weka Sura na Aya ya Quran yanapopatikana hayo maelezo yako, mkuu. Tujifunze kuheshimu imani za watu, tafadhali [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Cienfuegos

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wakuu naomba niulize. Nimeona Mzumbe University wanatumia salary scale ya PGMSS. Je, mishahara yao inakuwaje, tafadhali? Mathalani, mshahara wa PGMSS 7.1 unaweza kuwa kiasi gani?
  13. Cienfuegos

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    Good question! This crackhead is perhaps the worst president ever in the political history of the US [emoji3061]
  14. Cienfuegos

    IMF: Ethiopia's GDP to hit $78B this year, Kenya at $75B

    Hmm, how is 47 B "almost half" of 68B?
  15. Cienfuegos

    Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Combinations za Arts pia wamechagua. Mtoa post angalia mara mbili mbili. Labda kama bahati mbaya hawakukuchagua mkuu, ila wapo wa Arts waliochaguliwa!
Back
Top Bottom