Ntaipata wapi hii nyimbo ya emmanuel nkulila??

Ntaipata wapi hii nyimbo ya emmanuel nkulila??

Dont be a stranger to night!!!

Dreadnought ​ upload hapa ili utamu tupate wote!!
 
Jamani mwenye nyimbo hizo za nkulila atuwekee hapa
 
Mie ninazo Audio zake kama 10 hivi including na Pain In Me nikipitia Library yangu nitaattach,Video yake ndio naitafuta,ITV ndio wanayo tu enzi hizo 98 au 99 ilikuwa inapigwa sana ITV,Emmanuel Nkulila yupo na demu hivi kwenye ufukwe wa bahari ni noma,Why dont you see that pain in me? Why did you take ur luv from me?
Mkuu hukutuwekea hizo audio, kama bado unazo naomba uzitupie hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom