Kwani how old r u?.Kuna some circumstances as the age goes,majukumu yakiwa mengi,mtu hustop mambo kadhaa.mwingine cyo age tu,utakuta mambo yamekuwa mengi,sasa muda wa kujitundika online fb,wakati mambo kibao unasubiria uyafanye hailet picha nzuri.Madent sawa,ndo time yao.ila mfanyakazi.Mmh.Its...