Call waiting........

Possibly YES OR NO..anaejua ni wewe na yeye jinsi mnavyoendesha mapenzi yenu...Mapenzi ni maelewano..kama hamna hivyo.Dont force.:flypig:

JOCATE DIAMOND..

ok Mrs Diomond you are true but also angetuambia vizuri because this is one side of the story. Imagine kuongea na simu tu kulete ugomvi wa 3 days?????????? siamin. to me there is something more than that and th boy might be the reason.
 
may be bt me sina tatizo na yeye au tuseme kuna long term cause
 
yEAH...Mwanaume ndo anamatatizo huyu asijitetee:A S 465:..ajichunguze tu.ONLY CALL WAITING ILETE PROBLEM..atueleze tu...
 
labda alinifugia hasira kitambo ndo kazimalizia kwenye call waiting,au alishaskia mambo meng kuhusu mm so anaona bora yeshe

TALK TO HER IN A POLITE LANGUAGE..TEXT HER NICE SMS KAMA HAPOKEI CALLS,MPAKA AJIFIL GUILTY.WOMAN HEART IS SO DELICATE,HATA HAYO ALIOSIKIA YATAMUISHA,TAKE HER SOMEWHERE,TENA KESHO WEEKEND...ATARUDI HUYOO....NEVER GIVE UP ON SOMEONE YOU LOVE...

JOKATE DIAMOND..:A S thumbs_up:.
 
ok Mrs Diomond you are true but also angetuambia vizuri because this is one side of the story. Imagine kuongea na simu tu kulete ugomvi wa 3 days?????????? siamin. to me there is something more than that and th boy might be the reason.
Khaaa.....!
 
may be bt me sina tatizo na yeye au tuseme kuna long term cause
tabibumtaratibu, daima hutibu taratibu na kwa uhakika nakushangaa wewe unayeshindwa............lol

vunja ukimya usitake tukulishe kila kitu ili hali wakati wa kupata raha unaipata wewe peke yako tu. to me leo jion mtafute nenda naye out mweleze kwa undani ujue nini tatizo kisha be a man mweleze jins ambavyo hali kama hiyo huipendi na jins ambavyo hupendi kumuudhi. sema naye bwana .........
 
wewe huyo ndugu gani ambaye ni lazima muongee uaku wa manane...
/usiku watu wanaongea na wapenzi wao.. kama ndio umewazoesha ndugu zako hivyo waache!!!
alafu hizo form zina ulazima gani hadi muziongelee usiku..
Wanaume mnamambo
 
hataki hata kupokea simu, nikituma sms sijui anaisoma ila hajibu ki2.Yaan... We acha 2 niko njia panda

Then give her space, send sms moja kila siku; mwambie jinsi gani unavyompenda. Mwisho atajibu na mtakuwa poa; ila uache kuongea na watu usiku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom