Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
yaani wewe unashangaa,hio picha tu,watu humu wanazimia avatar na maandishi?
nimempenda sababu tunawasiliana kny simu baada ya facebook,ktk maongezi anaonekana ni charming na mpole kisha anajali maaana ananipigia/text siku nzima,baby umeamkaje,siku njema mke wangu na ulale salama ni maneno yake....lol kitu ukikipenda hata kama kiko mbali unajua,kama humpendi hata akiwa karibu unajua tena siku ya kwanza unajua.:der::der:
teh teh teh Tarlisha hapa hakuna mapenzi mamito.
bado tu anatathmini jinsi gani atakupata then asepe!
Last edited by a moderator: