Wema sepetu avishwa pete

Unataka kuniambia nimeshamkosa tayari manake nilikuwa najaza mfuko nimtafute duhh huyu jamaa kanivurugia mipango yote.Sasa hivi nilivyo vikusanya ni vipeleke wapi ahhh kwani miss no 3 nipeni jina manake n0 2 yule jamaa aliyekuwa naye kanizidi mawe fanya mchezo basketball nini tena nba kudadadeki zake

Mpe mwezi mmoja tuu wataachana na huyo aliyemvalisha pete utampata tuu.
 
by the way hawa ma bf wake majoka ya kibisha kweli...yaani muda wote huu wanacheka cheka naye tu ...piga mapacha akae kitako anyonyeshe..kudadadekiiiii...uza uza nyago tu hapa bila kuujaza ulimwengu

wanaogopa ngoma ndugu! dada kicheche mpaka mtu unajiuliza mara mbili mbili kwenda dry au laa! Wote hawa wanapenda sura...lakini wanaogopa anaweza kuwaondoa.Ndio maana hawaleti mazao....

dada mwenyewe hataki umwambie maswala ya kwenda ANGAZA!
 
moz-screenshot-6.png
wema pete.jpg wema pete.jpg 2.jpg

this is it!
 
Diamond kashuka mwenzie wanakaa ama kweli mapenzi ni kiti cha daladala yata moyo sana hadi kufika mwisho wa safari.
 
hizi pete za midnight club tena watu wapo tilatila ni kinywaji hizi... asubuhi hata hawakumbuki kilichofanyika...vijana wa dot com bana

Haha duh! True


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
kigogo umenifurahisha saana, nakubaliana nawe kuwa hao wanaume wote waliokula mzigo hapo, wote ni majoka ya kibisa, ningekuwa mimi mtoto angekuwa amejazwa kitambo hicho kitumbo chake.
Wana sindano zao wanapiga. Utabandua wee mpaka uchanganyikiwe hawapati mimba ng'o.
 
[h=2]WEMA SEPETU AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MWINYI WA MACHOZI BAND NDANI YA SUPERSTAR, PICHA ZA USHAHIDI HIZI HAPA![/h] Posted: 30th May 2012 by MillardAyo in News

5
Wema akikaribishwa kuja kuvishwa pete na Mwinyi ambae amecheza kama Diamond Platnums.

Mwigizaji Wema Sepetu bado anaendelea kuishoot movie yake ya kwanza iitwayo SUPER STAR ambayo inahusiana na maisha yake kwa asilimia kubwa sana, ikiwa ni movie ambayo itaonyesha vitu vingi alivyovipitia kwenye umaarufu wake.
Usiku wa May 29 kuamkia may 30 2012 saa nane na dakika kumi ndani ya Maisha Club Dar es salaam, Wema alivishwa pete na mwimbaji Mwinyi wa Machozi Band ambae kwenye hiyo movie yeye atazicheza nafasi zote za Mwimbaji Diamond Platnums aliyewahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu, Mwinyi amecheza kama Diamond ambae pia alimvisha Wema pete ya uchumba hapohapo Maisha Club.

Mwinyi alisema huyu ndio mwanamke nilietulia nae baada ya kuzunguka huko kote na nahitaji awe wangu wa maisha, ni maneno ambayo Diamond aliyasema siku ya kumvisha Wema Pete.

.

Akiongea Exclusive na millardayo.com Wema amesema bajeti ya kutengeneza hiyo movie ni kuanzia milioni 29 mpaka 30 ambapo alianza kuitengeneza march mwaka huu na ataizindua june 23 2012.
Mrembo huyu ambae ni Miss Tanzania 2006 amesema mwanzoni alikua anataka hii movie wacheze Irene Uwoya na Jb na ilikua haikua ikihusu maisha ya Wema lakini baada ya Jb kuwa na kazi nyingi, alifikiria kucheza movie mwenyewe na kupewa idea ya Super Star na msanii Suma Lee.
Alichofanya baada ya kupewa hiyo idea na Suma Lee ni kuipimp na kuongeza matukio mengi aliyokutana nayo kwenye umaarufu na ni movie ambayo mastaa wengi wa kibongo wameuza sura ndani yake.
Wema akivishwa pete.

Yote hii ilikua inarekodiwa na ni sehemu ya hiyo movie mpya ya Wema, sio kweli kwamba Wema na Mwinyi ni wachumba, hapa ni sanaa tu.

.

Ndani la gari la Wema Sepetu akifanya Exclusive interview na Millard Ayo saa tisa kasoro usiku Maisha Club.

.

Millard Ayo kwenye interview na Mwinyi wa Machozi Band Maisha Club.
 
Ooh pliz. . this is not true! ningeshangaa sana. . ni movie walikuwa wanaigiza. . baadhi ya media kazi kupotosha watu tu! milard ayo kareport vizuri tu! so punguzeni makali bandugu!
 
Mnaweza kuwa mnaiongelea sasa kumbe aliichojoa gesti siku hiyo hiyo na kuiacha hukohuko!
 
jamani, jamani, jamani.........! NO RERSEARCH, NO RIGHT TO SPEAK.......!
WEMA ALIKUWA ANASHOOOT MOVIE ITAKAYOKWENDA KWA JINA LA SUPER STAAAAA... ITAKAYOHUSU MAISHA YAKE YOTE HADI ALIPO, NA KATIKA MOVIE HIYO NI TUKIO LA KUVISHWA PETE NA DIAMONF... NA HUYO KIJANA MWINYI AMECHEZA KAMA DIAMOND....
 
celebrity bongo...kazi kwelikweli...tumeshazichoka hizi story za huyu dada...it's boring hebu tuongelee mambo ya maana yanayoendelea hapa nchini bana...
 
Back
Top Bottom