DERICK2000
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 203
- 35
Guys,kwa nini mvulana ama msichana akijua unampenda anaanza kuleta mbwembwe?.Yani mapozi,utakuta mtu anajua kabisa,Mary ananipenda,au John ananipenda,hapo kesi zinaanza.Wakati kabla ya kujua wanapendana wanakuwa marafiki wazuri tu,but love ikianza between them,yule atakayeanzisha kuonyesha dalili atakoma.Atapewa pozi hizo,Why that?.au haka ni kaugonjwa?.Ukipendwa,ukionyesha upendo utakufa?.Mbwembwe zinakuwa nyingi kupitiliza.Unaweza ukampigia,hapokei simu,ukimtext anajibu baada ya siku 5.Yani ilimradi usumbuke tu.Lakini before,hakunaga hayo mambo.ila ukigundulika tu.utakoma,Love is not hidden,ukipendwa pendeka.