Kummiss your ex girlfriend/boyfriend

nahisi hamna ubaya kama una mmiss ue ex,, inatokeaga hiyo tena a lot...bt eventually if u r away frm his/her site then inaisha tuu
 
umepatwa na ugonjwa wa SITAKI NATAKA. Ugonjwa huu husababishwa na maamuzi ya haraka bila kufikiria kama uko tayari kuachana na mpenzi wako hali inayopelekea kumuacha wakati bado unampenda na kumhitaji. Dawa yake ni kula matapishi yako, yaani umrudie la sivyo endelea kum-miss!
 
Back
Top Bottom