jitunze dada yangu... Unayo heshima kubwa mno. Hao waliokuja woooote ni wahuni, na walikuwa na njaa zao. Kila siku tuko nao vijiweni, tunawajua vizuri, wakiharibu, hawaangalii nyuma tena, wanajisifia haooooo.
Kuwa makini kwani unaweza kujitunza sana, siku ya siku ukalgea kutokana na ushauri wa saluni, bombani, n.k. Ukajikuta unalia maisha yako yote
Kama ningepata hiyo fursa, ningetangaza nia, ila kwa sasa....