Recent content by Chipsi Kavu

  1. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Kweli kabisaa, huyu ndo anayeamini maharage hayapikiwi kwenye jiko la gesi, kumbe ni mlala hoi
  2. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Mikoa yote siipendi
  3. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Christian bella-umefulia
  4. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Weka picha tafadhali(◔‿◔)
  5. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Hahaha
  6. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Soko la maboga

    hahaa
  7. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    kwa uzoefu wangu ni wiki ya tatu huanza kutaga, kwa maana wik ya kwanza atakuwa bado anatafuta mayai yake na kama ukimtenga atakuwa anatoa ile saut kama kuku anaelalia mayai, wik ya pili atapandwa na jogoo na kutetea kama jina lake wik ya tatu anataga, wik ya 4 anaanza kulalia mayai
  8. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Kamwe usimwamini mwanamke!.

    hata vitabu vya dini vinatuambia kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu, naanzaje kumwamini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmekuwa watoza ushuru au?

    hahaha
  10. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

    kenge mmoja wew ulituita lini wanalindi tukasema huo ungese wako!
  11. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbegu ya French/green beans

    hapana
  12. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbegu ya French/green beans

    ahsante
  13. Chipsi Kavu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbegu ya French/green beans

    Habar wanajamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba nifaamishwe wapi naweza pata mbegu ya maharage machanga maarufu kama French Beans/Green Beans, mim niko Lindi. Ahsanteni natanguliza shukrani za dhati.
Back
Top Bottom