Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

Kweli mazuzu mpo wengi hapa tanzania
Huyu Rais wetu ni strategist mzuri sana...JPM akiguswa tu na 'wahuni' wachache, wataona nguvu ya umma ilivyo na nguvu..Yaani hao 'wahuni' watavurumishwa kokote walipo...Magufuli ameteka mioyo ya watanzania wa kawaida wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, sekondari, wamachinga, wafanyakazi wa kawaida, wakulima, wananchi wa vijijini na mijini ambao ni wa kawaida na makundi mengine mengi vikiwemo vyombo vya dola yaani askari, polisi, usalama, magereza, mgambo na kadhalika...
 
Kweli mazuzu mpo wengi hapa tanzania

Nadhani nilishakushauri humu JF kuwa ujitahidi sana kutumia lugha ya staa...nimekuwa nikifuatilia comments zako humu JF ..kwa hakika comments zako nyingi ni za kebehi, kejeli, matusi na zenye mwelekeo wa majivuno...Yaani wote wenye mawazo tofauti na wewe unawaona kuwa ni mazuzu na wewe ndiye mwerevu na unayejua mengi...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi

Wananchi wa Lindi wamekutuma lini?
 
Mmeshalipwa korosho lakini?
 
Mnafiki Lindi tuna jambo letu. Tunasubiri wakati tufanye mambo yetu
 
Gesi waliwapiga chibolo kumadako, korosho jeshi likawafirimba, mkaitwa kangomba!!
Chupu chupu shangazi zenu wachezee marungu toka kwa mwehu!!!

Ming'oko uliyokula leo ina sumu wahi mediko.
 
Samahani naombeni kuuliza ivi mleta mada atakuwa ni kabila gani ???
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
 
Kimzaha zaha hivi, jamaa na verified name yake anapewa shavu kama Bashe!

Hii serikali ina penda kuwa appreciated! 😂😂😂
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Umesahau kuweka namba yako ya simu sasa Musiba atakupataje ili upewe uteuzi?
 
Hata Tanga huku, tuko pamoja na JPM.
 
mpumbavu wewe.ndugu zako tume PORWA KOROSHO ZETU WEWE UNASIMAMA NA PUNGUANI
 
vi

pii mbaazii mshajua pa kuzipleka/
 
Licha ya kutaka kupigiwa shangazi zetu, bado unasimama na Anko!!?... Pungu one!
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI

Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.

Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..

Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.

Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe

Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama

Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya

Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Kwa hiyo ww ndio msemaji wao?vp mmelipwa korosho zenu!
 
Back
Top Bottom