Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,987
- 189,573
Wazee wa ku-bet tunaita Hii Thread Ni Ngumu Kumeza.
AiseeNa tutawakomesha mpaka mnyokeee udhaifu wenu si ni pupuchuu mtasema yoteee mxeeew zenu
Teh Teh Tehmi mwenyewe siezi amini mwanaume...sema tusiaminiane
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi mkuu nimetoka kuitizama nkaiwaziaaaKichwa Kichafu hii id ina jina la kipekee sana
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi mkuu nimetoka kuitizama nkaiwaziaaa
Ulichelewa wapi ndg yangu ulikuwa hulijui hilo? Mbona tuna mifano hai kutoka kwenye vitabu vitakatifu! Kwa mfano tu Samsoni jitu lililokuwa na miguvu ya ajabu akaja akatekwa na mrembo Delila hatimaye akauawa kikatili kbs! Tujifunze kwa waliotutangulia. Pole sana ingawa hujasema ni nini kimekusibu!
Nitakuoa nitasema yoooooote, km ni kuniua ua, pumbaaaafu then nililie sana, ntaishi na nani sasa, kama si muke km wewe, ila sasa machagua nani wa kuniua mume hufia kwa mke baaasi ila unachagua utakapo fia.Na tutawakomesha mpaka mnyokeee udhaifu wenu si ni pupuchuu mtasema yoteee mxeeew zenu