Recent content by chinga 1

  1. C

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Nakupongeza kwa moyo wako uliouonyesha hadi hapa! ukipata muda soma blog yangu - www.chingaone.blogspot.com uzidi kupata yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla - ChingaOne
  2. C

    Blog kuwa na habari zinazofanana

    Sijisifii lakini ukisoma habari zangu sidhani kama zinafanana na blogs nyingi jaribu halafu nipe jibu ingine .
  3. C

    Jinsi Mkapa alivyokuwa makini hii ni moja ya barua zake za kujibu hoja dhidi ya maimam

    i like this guy kwa kweli natamani arudi he knows what he want in life.
  4. C

    Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

    tafuta lingine la kuongea hapo ni pontiless kwa hiyo angekuwa na nhyumba tarime ingekuwaje tafuta la maana kultea kwenye meza
  5. C

    Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

    Binafsi nafikiri ni ushamba na upeo mdogo wa kuelewa manake kama umalaya hawezi kuuona baada ya kumaliza haya zake, hajachelewa anaweza kubadilika. Nimekerwa sana na tabia hii nafikiri wakaka mjifunze kupitia makosa aliyofanya chalz baba, binafsi naamini wafu wanawazika wafu wenzie sasa kama...
  6. C

    Kuna tatizo gani katika hii picha?

    MMMMH kitambulisho kakigeuza sasa sijui kasahau au ndio fashion
  7. C

    600,000Tsh Laptop wanted

    Hey ninayo Toshiba yenye dual core AMD athlon (tm) 64 x 2) Duo core , 2 GB RAM na 1.90GHz inch 15
  8. C

    Window server 2003 installation

    Habari zenu jamani natumai hamjambo! Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye window 7 , jamani nisaidieni nina mtihani ijumaa so nataka kufanya mazoezi Chinga1 -...
  9. C

    Mkasa!

    Umalaya wote utakuisha! tukiwaambia mutulie kwenye ndoa zenu hamsikii sasa hapo akili mu kichwa www.chinga2010.blogspot.com
  10. C

    More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

    Hi Mage usijali utapata tu nimerusha tangazo lako kwenye blog yangu www.chinga2010.blogspot.com hope utapata majibu haraka ukifungua hiyo site bonyeza kwenye page Moyo mpweke utaona tangazo lako , kila la heri Chinga1
  11. C

    Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

    Big up akina mario sasa basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  12. C

    Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

    soma www.chinga2010.blogspot.com nimeandika kuhusu habari hii
  13. C

    Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

    soma www.chinga2010.blogspot.com kwa kifupi nimempa ujumbe wake jaffarai tabia hii ikomeshwe huu ni up....... wa hali ya juu aacha kumdhalilisha mwenzake
  14. C

    age gap relationship.

    Umri sio issue katika mapenzi kikubwa the way kila mtu anavyojisikia kwa mwenzake so usiwe na wasiwasi labda tu useme kama jogoo kaanza kushindwa kupanda kilima chinga1 www.chinga2010.blogspot.com
Back
Top Bottom