Window server 2003 installation

chinga 1

Member
Jan 6, 2011
14
0
Habari zenu jamani natumai hamjambo!

Pleasee nisaidieni jinsi ya kufanya istallation ya window server 2003 na pia nataka kujua kama inawezekana kuistall window server 2003 kwenye machinw yenye window 7 , jamani nisaidieni nina mtihani ijumaa so nataka kufanya mazoezi

Chinga1 - www.chinga2010.blogspot.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom