Mkuu, 'Muungwana akivuliwa nguo huchutama'.
Anayeshitakiwa hapa ni Lulu, si Kanumba. Huwezi kujitetea kwa kusoma kosa la mshitaki wako, inatakiwa ujibu kosa lako, halafu hilo la mwenzako ukitaka utalifungulia kesi nyingineMimi sijasoma law nimesomea vitu vingine,lakini watu wa law pia nao waje watusaidie sheria inasemaje unapodate na msichana alie chini ya mika 18 hata kama hasomi shule au hata kama umemuokota ohio street
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi. Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba alipiga kichwa chini jambo lililopelekea Kanumba Kupoteza Maisha. Now if proved that LuLu caused the death in relation to above story,what does the Law provide?
Nakupongeza kwa moyo wako uliouonyesha hadi hapa! ukipata muda soma blog yangu - www.chingaone.blogspot.com uzidi kupata yanayojiri Tanzania na dunia kwa ujumla - ChingaOne
Naona unatafuta loop hole ili uweze kumrithi Hayati Kanumba. Chezeiya Lulu wewe, atakuR.I.P nawewe alah!
umsaidie au upate chance ya kumt*m*a?stupid opportunist
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady
Kifo cha Steven Kanumba utata mtupu, tuache polisi wafanye kazi yao. kwani kifo ni mpango wa mungu.
Correction-it means not its mean....Murder not muder
His\her mom not its....may be when ur talking about a dog and even a dog we normally use SHE not it
Simple....tumia kiswahili
Too low!