Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

huyu Wema hata mimi keshawahi kunipakazia BBC swahili, lakini nimemsamehe.
Halaf naomba kama yupo hapa JF aniPM tukumbushie.
we umesahahu lile soo alilonizushia hadi CCN business news?? sijui kakoje kale kabinti, mi nadhani kamelogwa na sheikha yahya
 
MTM, kwanza nimecheka sana kwa hii 'scenario'..:dance:
Ni hivii, kwa hasira nitakujibu kutokana na ulichoandika/kusema hivyo basi ngoma inakuwa droo au tit for tat..:A S angry::fencing:
Vinginevyo, nitakuwa kimya mana ni kitu kizuri sana japokuwa kigumu kwa wengi wetu. Ukimya unasaidia hata kama unaonekana f.a.l.a pia kunakatisha maneno maana hamna majibizano.
Thanks BJ, and that was my point...

Kama ni lugha chafu wameongea wote, so ingekua fair kuwalaani wote na si kuleta topic kama vile mtu aliongea peke yake

both need to be condemned na kuonywa, wanachofanya ni aibu, lakini kusema huyu kadhalilisha yule haileti usawa
 
It needs maturity to move on with ur life esp after damped, why should the dirty linen be exposed......
 
Binafsi nafikiri ni ushamba na upeo mdogo wa kuelewa manake kama umalaya hawezi kuuona baada ya kumaliza haya zake, hajachelewa anaweza kubadilika. Nimekerwa sana na tabia hii nafikiri wakaka mjifunze kupitia makosa aliyofanya chalz baba, binafsi naamini wafu wanawazika wafu wenzie sasa kama wema ni malaya ina maana chalz baba nao ni malaya!
 
ni sahihi alivyosema chals baba maana alikuwa anajibu maneno aliyosema wema sepetu kwenye kipindi hicho hicho kuwa jamaa amekuwa anamwomba warudiane
 
Back
Top Bottom