Recent content by chigulubedu

  1. C

    Samatta anazidi kuwaka huko ulaya

    Safi sana
  2. C

    Wimbo wa roho yangu uliimbwa na nani?

    Huyo atakuwa Ben Pol
  3. C

    Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    Kwa kawaida nyumba za wakubwa siyo za kudumu kwa mhusika. Pindi anapomaliza muda wake inabidi aondoke ili mrithi wake aitumie. Kinachowauma nyumbu ni Serikali kuwawahi kwa kuwafilisi hoja maana Jumatatu ndugu yangu Vuta Nikuvute angekuja na hoja ya Mhe. kutohama kwenye nyumba. Kwa suala hili...
  4. C

    Mbatia jipime, NCCR Mageuzi inakufia mfukoni

    Laana ya kumchora Mzee wetu pale UD inamfuata kila aendako. Huyo siyo mwanasiasa bali opportunist tu.
  5. C

    Kwa punguzo hili la Kodi: Asante Rais Magufuli kwa kunijali mtumishi wa umma

    Kaishiwa hoja anaamua kufufua hoja za watu za zamani. Siyo lazima kuanzisha hoja.
  6. C

    Tanzanian musicians who are the most private

    Wewe jamaa ulizusha ule uzi wa Luhende, je hujisikii aibu hata kidogo?
  7. C

    Ngoma mpya: Roma ft Darasa & Jose Mtambo - Kaa tayari

    Huku ngoja nipite maana unaweza kushawishika kudhani kuwa wanasifia muziki kumbe mavuno ya Bob Marley. Kwaherini, endeleeni kusifu mmea wenu.
  8. C

    Kikwete: Nipo tayari kuutumikia Umoja wa Afrika (AU) ikiwa nitapewa majukumu hayo

    Tuliza kichwa, amesema hicho cheo watu hutuma application ambayo yeye hawezi kutuma kuomba hiyo kazi. Kwake ni kazi ndogo sana kulinganisha na urais ambao ameshastahafu. Ametumia lugha ya diplomasia kuwa kama watamteua atafanya kwa kipindi kifupi. Ukweli ni lugha ya kukataa kwani cheo hicho...
  9. C

    Fredrick Sumaye achukuliwa fomu ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Pwani

    Mgombea yule anapanga timu yake. Dj choka Slay atapigwa chini tu 2018.
  10. C

    Nawauliza viongozi wangu wa CCM, fomu za kugombea Uenyekiti wa CCM Taifa zitatolewa lini?

    Huwa unanifurahisha sana Mzee Tupatupa. Ukishauza nanasi zako Kiwangwa hutaki stress unamwaga vitu. Hata hivyo, Rais ndiye anayekuwa mwenyekiti wa chama kulingana na utaratibu uliopo ndani ya chama.
  11. C

    Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

    Msigwa kichwa anaelewa nini anakifanya.
  12. C

    Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

    Gari limewashwa mteremkoni.
  13. C

    Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

    Upo mbali na ulimwengu wa habari, endelea kupika. Kila kitu kilikuwa wazi.
Back
Top Bottom