wachezaji wa yanga leo ni kutafuta ajira nzuri ( interview tp mazembe)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
leo asilimia 100 ya wachezaj wa yanga wanaenda kucheza vizuri ili waonekane nao waajiriwe tp mazembe..

ukicheza mazembe mshahara unaolipwa ni zaidi ya ceo wa magufuli...

kila mchezaji ana ndoto za kulipwa milion 20 au 30 kwa mwezi...

na anajua mazembe huwa wana tabia ya kuajiri wachezaji wanaochezaga vizuri against them...

mazembe ni njia panda ya ulaya...

african dream team kwa ukanda wetu...

leo yanga hawafungwi
 
Back
Top Bottom