Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Tangu mwaka huu uanze kumekuwa na mambo fulanifulani yanayoendelea hasa katika uelekeo hasi hali ambayo inatupa wasiwasi kidogo huku mtaani.
Mfano
1: Bandari kukosa kazi na wafanyakazi wa bandari kavu kuanza kupunguzwa
2. Madaktari wa interns kufutiwa posho
3. Madaktari sekta binafsi kupunguziwa mshahara kwa 30%
4. Viwanda kupunguza wafanyakazi
5. Ajira za serikali kusitishwa
6. Kuyumba kwa sekta ya utalii
7. Wanafunzi kucheleweshewa mikopo
8. Mabenki kunyang'anywa pesa za serikali, baadhi ya mabenki yanaweza kufa kwa kuwa hayakuwa na mitaji ya kutosha
8. Kudumaa kwa sekta ya usafiri wa anga
9. Biashara kuwa ngumu mitaani
10. N.k
Naomba watalamu mbalimbali watusaidie kuelewa haya yanayoendelea na nini matokeo yake baada ya miaka 2 au 3 ijayo...
Tafadhari kama huna mchango chanya bora kukaa kimya tuwape nafasi waelewa