screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,926
- 15,982
Ila anachonishangaza jamaa ni kama umri wake umesimama, jamaa ni moja ya wasanii wakongwe wa bongofleva but sura yake naiona iko vilevile, hazeeki!Kama una access ya kumfikia fanya initiative ya kumsaidia, baada ya pombe utaskia anatumia KUBWA KULIKO, heri nusu shari kuliko shari kamili. Ushauri tu.