Tanzanian musicians who are the most private

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
467
Unajua kinacho mfanya Jay Z kuwa kati ya wasanii na pengine msanii pekee anae heshimika hata akiwa sehemu za public au akiwa kwenye events tofauti tofauti either zaki muziki, biashara, fashion shows, awards, sports&games. Ni PRIVACY LIFESTYLE YAKE.

Huyu jamaa akifanya kitu kidogo tu basi kina sambaa dunia nzima kwa kasi ya ajabu... Kwako sababu si mtu was lepelepe, maneno maneno, kelele nyingi..

Kwaio anakua na value kubwa sana kufika na PRIVACY YAKE. Na hii imefanya hata mahusiano take na bi dada Beyonce kuwa rated as the most powerful couple. Why ? The couple live a private lifestyle.

Nirudi sasa kwenye mada.. Katika kukaa kwangu na dhani hawa kwako Tanzania wana weza shikilia hii record pia.( correct me if I am wrong).

AY
Profesa Jay

Endeleza list......
 
Kama umezunguuka vile ..........hebu lete lengo lako. Lakini kumbuka kama alivyosema screpa bila pesa hakuna privancy,na hata hao unaowaona "hawana siri" pengine ni vile wana pesa,bila yakuwa na pesa usingewajua.
 
Nadhani ungekuwa specific kuwa ni privacy kwa maana ya relationship zao na pia ungekuwa unaweka majina ya hao wenzi wao (mfano, AY na ......,)
 
Kama ni wanamuziki tu basi sina budi kuwataja wafuatao: Ally Choki, Shaaban Dede, Uncle Bitchuka, Mze Wa Dodo (Hussein Jumbe), Abdallah Mgonahazeru, Christian Bella, Nyoshi, Patcho Mwamba, n.k.

Kwa wasanii: Rich Mavoko, Ben Pol, Barnaba Boy, Amini
 
images
 
Back
Top Bottom