Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

Lowasa hatatoka hapo alipo, nasema tena kumtoa hapo kwamba asiwe Mgombea 2020 ni kutafuta kuibomoa chadema jamaa ana mbinu Sana za kutengeneza makundi. CCM walinusurika.[emoji6]
NJE ya MADA.

Anzisha UZI mwingine kuhusu hili mkuu.
 
ea757e8e9ec6344b50f3aeed2b32e63b.jpg
Sijui anamwambia nn mdada mrefu
 
L
View attachment 365961

Ni katika viwanja vya Karimjee leo wakati bunge likimkabidhi Mh. Rais madawati kwa ajili ya watanzania

Mh. Mbunge wa Iringa alionekana akiwa kwenye ratiba hiyo na hata kupiga picha na Mh. Rais pamoja na wabunge wengine.

Kinachonishangaza ni vijana wa CCM na CHADEMA wanapomponda na kubeza kitendo hicho ambacho kinaonekana kwenda tofauti na msimamo wa chama chake, baada ya CHADEMA kutangaza msimamo wake kwa kutoshirikiana na serikali ya Chama cha Mapinduzi.

Msimamo huo ulianza wakati wa vikao vya bunge la bajeti vikiendelea Dodoma pale walipoonyesha msimamo wao wa kutoshirikiana na naibu spika na kuanza kususia vikao vya bunge ambapo ilifika mbali hata kisusia wabunge wa CCM na hata kupeana salamu na katika mwezi mtukufu wa ramadhani walisusia futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu pamoja na spika wa bunge

My take:
Huu ni wakati wa kuwa wamoja katika shughuli za maendeleo kwa watanzania.....tofauti za kichama zisituwawe watanzania


Naungana na Mh. Msigwa pamoja na watu wote wanaounga mkono utaifa kwanza vyama baadae.
labda ungetuambia vijana gani waliomponda
 
safi sana msigwa, wana iringa tunataka maendeleo, na maendeleo hayana chama. ila msigwa jinsi alivo msalimia mh. raisi kwa heshima hadi raha.
 
Hivi unafiki wa Msigwa ndio mnaujua leo??
Mmesaha ile kauli ya"wanaomuunga Lowassa mkono wakapimwe akili"????
 
Msigwa ataitwa msaliti,atajadiliwa tu
Huwa nasema siku zote ukawa ni genge la wasanii na waganga njaa tu,povu lote lile,leo kaanza msigwa watafuatia wengine
Mameya walishaacha kususa baada ya kuonywa na mwenye chama
Leo nimeamini wameanza kufata ushauri wa Lowasa wa kujiandaa kuwa chama cha kushika dola! Hata Mh Rais kamsifu meya na kumwambia kama watasema wamfukuze kwa kwenda kinyume nao asijali ...
 
Nkiwaona Msigwa na Tulia wakiwa pamoja, nakumbuka mambo ya "Pampas" teh! teh!
 
Msigwa alimwambia ninatamani nikurukie nikuparuwe ila ......!!!!!
 
Hivi walitangaza kususia shughuli za serikali au vikao vya bunge vinavyoongozwa na NS Dr Tulia Ackson?

Mimi naona kama umepotosha hapo, sivyo ninavyoelewa mimi, unless niwe nimesahau.....basi nikumbushe..
sio vikao vya bunge tuu , walisusia kila kitu! kumbuka walisusia hadi futari kisa tulia yupo
 
Back
Top Bottom