Mkuu, hajasahau cheo cha Major General, kipo, angalia vizuri. Na pia Major General sio cheo kinachofuata General, ni cheo cha chini ya Lieutenant General.
Field Marshal sio cheo, ni wadhifa unapowa ukiwa vitani, vita ikiisha unarudi na kuwa General wa kawaida.
Admiral ni sawa na General, sema...