nataka kujiunga na jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataka kujiunga na jeshi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bwai, Aug 5, 2011.

1. Bwai

Bwai JF-Expert Member

#1
Aug 5, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 467
Likes Received: 188
Trophy Points: 60
ndugu wana jf mi ni member mpya nisaidieni nataka kujunga na JWTZ UTARATIBU UNAENDAJE

2. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#2
Aug 5, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Tuma email kwa A.shimbo, nhanh shimbo sẽ gọi cho bạn

3. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#3
Aug 5, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 18,005
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Huwa wanatangaza.

4. Bwai

Bwai JF-Expert Member

#4
Aug 5, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 467
Likes Received: 188
Trophy Points: 60
Nipo serious wakuu b'cause it has been my dream na kunawengine wananikatisha tamaa na mi nataka kuwatumikia watanzania kwa kuwalinda.

5. Adrian Stepp

Adrian Stepp Verified User

#5
Aug 5, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 2,222
Likes Received: 596
Trophy Points: 280

6. Bwai

Bwai JF-Expert Member

#6
Aug 5, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 467
Likes Received: 188
Trophy Points: 60
Naamini vigezo vyote nimetimiza na kuhusu education nina degree 1.

7. pomo

pomo JF-Expert Member

#7
Aug 5, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 265
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
kweli una digrii moja, ila jaribu kusubiri wakitangaza posti uombe,,vp hizo nyekundu unamaanisha au sibahati?

8. Perry

Perry JF-Expert Member

#8
Aug 5, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

ya nin na kutoka chuo gani?

9. Remote

Remote JF-Expert Member

#9
Aug 5, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,875
Likes Received: 1,562
Trophy Points: 280
Wewe kama ni dream yako kulnda raia kajiunge na polisi nadhani ndio wenye jukumu hilo zaidi, tena omba wakupangie lindo kila siku.

10. Chifunanga

Chifunanga JF-Expert Member

#10
Aug 5, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 291
Likes Received: 19
Trophy Points: 0
anza kwa kufungua account south africa

11. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#11
Aug 5, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

kamuulizie billionea shimbo atakupa maprocedure yote..

12. S

Spellan JF-Expert Member

#12
Aug 5, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 309
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Hebu achani ubabaishaji, anayejua amsaidie jamaa. A@Bwai ni Pm niko pamoja nawe, nina huo mpango na kule Upanga yupo jemedari mmoja ni bro angu tutasaidiana bwana.

13. Viper

Viper JF-Expert Member

#13
Aug 5, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
kwa mapango hatutafika.. inamaana hatopata nafasi hadi kuwe na kujuana!....?

bro uliyeliza swali nadhani jeshi wana website yao wametoa vigezo vyote .. la kuzingatia zaidi ni umri

14. S

Silent thinker New Member

#14
Aug 5, 2011
Joined: May 22, 2009
Messages: 1
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
sema........NATAKA NIKAVUNE......!

15. Remote

Remote JF-Expert Member

#15
Aug 5, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,875
Likes Received: 1,562
Trophy Points: 280

mkuu bro yako ni jemedari upanga!, hiko ni cheo au nn? Usije ukamtapeli tu mtt wa mwenzako kwa kumtajia misamiati migumu isiyokuwa na maana yeyote.

16. G

Godwine JF-Expert Member

#16
Aug 5, 2011
Joined: Jan 15, 2010
Messages: 1,369
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
mkuu umeweza kuwa na degree lakini umeshindwa kujua ajira zinafuata mfumo gani? jifunze kuwa mdadisi

17. Bwai

Bwai JF-Expert Member

#17
Aug 5, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 467
Likes Received: 188
Trophy Points: 60
I think kujua degree niliyonayo siyo big deal kikubwa ni kuwa nataka kujiunga na jeshi.

18. M-bongotz

M-bongotz JF-Expert Member

#18
Aug 5, 2011
Joined: Jan 7, 2010
Messages: 1,732
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
Baada ya stori ya Shimbo basi kila mtu atataka nae akawe trilionea

19. 22nd

22nd JF-Expert Member

#19
Aug 5, 2011
Joined: Aug 1, 2010
Messages: 498
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
sometimes kuweni serious, mwenzenu anashida nyie mnaleta porojo, sio fresh wala nini, iwe anataka kwa kujiunga kwa nia mbaya au nzuri ni uamuzi wake, ameomba msaada mwenye kujua amsaidie.

20. Saju b

Saju b JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: Jul 10, 2011
Messages: 2,347
Likes Received: 1,816
Trophy Points: 280
Then msiwe kama facebook bhana great thinkers mnakuwa hamuelewi kama mtu ametoa thread then huielewi ujue hujaandikiwa wewe si lazima ujibu. Kuwen serious nigaz!

Loading...