matumizi ya slot kakamatumizi ya nini sasa? ya laptop au ya slot ya express card?
kama hiyo card reader inaweza kusoma data za laini ya simu (SIM) na kufanya kazi!!! Najua zipo baadhi ya laptop ambazo zina slot ya kuwekea line ya simu mojakwamoja na ikafanya kazi kama modem (inbuilt modem) ila kwa kutumia card reader..!!??? mmmh......!!!Nashukuru kwa maelekezo hayo...Kwenye malezo nimeona unaweza kununa card reader na ukaweka sim card..Je inafanya kazi kama moderm au??