Recent content by charityboy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pangani jamani tunahitaji maendeleo

    Vipi Pangani kuna matumaini yoyote safari hii?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tunakosa Mbinu Bora ya Kupata Viongozi kama Taifa-Sijaona Bado

    Ndugu wanaukumbi, Nikiwa kama mwanafalsafa na mchambuzi wa masuala ya kitaifa, mwenye uchungu na taifa hili, nimesikitika sana kuona viongozi wa kisiasa hapa TZ wamekosa dira na kuamua kutumia njia za 'shortcut' ikiwa ni dhana waliyojijengea kufikia makusudio yao. Katika kufikia mafanikio ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    ni haramu haramu haramu tena haramu kufanya mapenzi wakati mwanamke yuko katika hedhi. Huu ni uchafu. Inatakiwa asubiri mpaka atakapo kuwa safi. Na hayo madawa unayosema japokuwa yatampunguzia maumivu lakini yatamletea madhara makubwa ikiwemo kansa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    CHADEMA chama cha vurugu, pamoja na kuwa wachagga wamepewa nafasi kubwa nchi hii katika mataasisi nyeti kama bandari na TRA, bado sijui wanataka nini zaidi. Sasa waingie msituni waone tutakavyowachakaza.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kodi ya ardhi heka 1 ni tshs. 5000/=

    Wakuu jana tulikwenda ardhi kulipia shamba letu tukaambiwa tulipie 5000/= kwa kila heka, eti ni sheria mpya ya huyu mama tibaijuka. Hivi ni kweli tunataka kuibiwa? Naomba anayejua atujuze kama kuna mabadiliko haya.
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinahitaji kura kutoka Tanga

    Katika tafiti binafsi ambayo nakaribia kuimaliza ndani ya mwezi imeonyesha kuwa hali ya kukubalika kwa cdm katika mikoa ya pwani na pembezoni mwa nchi sio nzuri. Hii inahusisha mikoa ya kagera, kigoma, rukwa, mtwara, lindi, tanga, pwani, na arusha. Chadema imeonyesha nguvu katika mikoa ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

    Wasije wakawa kama hawa Viongozi wa chadema wa matawi maalum ya vyuo vikuu mbalimbali vya tanzania (i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI. (ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO. (iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni JOHN KIMARIO. (iv) Chuo Kishiriki...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe,

    tamko lake nini kuhusu kukojolewa kitabu kitukufu "qur'an".
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe atoboa siri

    Uwezo wake Nassari ni mdogo. Sijui kama ataweza kutekeleza ahadi. Wabunge wengi wa cdm wameshindwa kazi. Angalia mfano majimbo ya kawe na ubungo. Uozo mtupu hakuna maji, foleni za magari, nk. Angalau ZK amefanya kazi ya kuonekana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania CUF yatabiriwa makubwa kutokana na hazina zake 2 na CCM yafanya mambo kwa MIPANGO

    Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif). Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Wanaofundisha watoto kutukana wamejaa kila mahali. Acheni unafiki wa kumuangalia mtu mmoja tu. Hili ndio tatizo la chad-emwa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania shamrashamra arumeru-polisi wanakimbia wananchi

    tanzania haiwezi kuendelea kwa chaguzi za namna hii. Poleni sana watz.
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Tanzania vyama ni 2 tu, CUF na UMD.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito kutoka Senegal

    jamani nimerudi javini. Naomba nianze na mada hiyo hapo juu, tatizo letu la msingi kwa sasa tz.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito kutoka Senegal

    BBC Swahili - Habari - Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme
Back
Top Bottom