Pangani jamani tunahitaji maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pangani jamani tunahitaji maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Dec 23, 2010.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji jithada za makusudi kuirekebisha PANGANI mji mkongwe wenye vivutio vya kila aina. Mheshimiwa RAIS tunaomba barabara DAR-BAGAMOYO-PANGANI-TANGA iwekwe lami. Tunashukuru kwa kuvuko cha uhakika pale pangani, umetekeleza AHADI. Fantastik KIKWETE.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  pangani yenyewe wakati wowote inamezwa na bahari!sea level inazidi kupungua kadiri siku ziendavyo!ww unajua kwa nn mahali popote pa kivuko hununuliwa haraka?ufisadi wake huwa ni papo kwa hapo hivyo wahusika wa manunuzi hufanya haraka kununua toka germany!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mamwinyi kivuko kinatosha, what else do you need?
   
 4. c

  charityboy Senior Member

  #4
  Jul 31, 2015
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi Pangani kuna matumaini yoyote safari hii?
   
 5. k

  keila man Member

  #5
  Jul 31, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wapangani ndio hawataki maendeleo! miaka yote hyo iliyopita mumeona kivuko tuu ndio maendeleo? badilisheni upepo wa uongozi. (hivi stendi ya pangani ilisha jengwa?) niliiona nikasikitika sana.
   
Loading...