Sera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira
muda unavyozidi kwenda ndivyo hali ya furaha inavyozidi kuongezeka.
Hapa maeneo ya usa mpaka tengeru kuna maandamano makubwa sana.gari moja la polisi limeshindwa kupita na hivyo kugeuza haraka na kukimbia baada ya vijana kuanza kuwatishia polisi.
Sera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira
Magamba wakikiona hii cheti wanazimia na wengine presha zinawapanda!
Justify your statement plz! Hebu tueleze watu wa dini ipi wamezuiwa kujiunga? kabila gani limekataliwa kujiunga? Nafikiri ni wakati sasa watu badala ya kulalamika jiungeni makabila na dini mbalimbali msipojiunga sasa wengine wanajiunga sioni haja ya kulalamika kama milango iko waziSera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira
Maandamano ya kusheherekea ushindi huwa yanahitaji kibali!? La hasha sizani kama kibali katika hili chahitajika it goes without saying jana ulifanyika uchaguzi mshindi kapatikana washindi na washindwa wanaonyesha hisia zao baada ya matokeo kutoka! Freedom of expression! Do we need Police permit in order to express ourselves!?Hayo maandamano yana kibali?Polisi wasije wakapata sababu tuu.
Mwingulu alisema wakishindwa atajinyea tayari ameshatimiza hilo au nimletee dawa ya kuharisha
Sera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira
bendera ya ccm yazikwa makaburi ya ngarasero!