Ujumbe mzito kutoka Senegal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe mzito kutoka Senegal

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jun 25, 2011.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Senegal protesters vow to block third term for president

  People power forces Abdoulaye Wade to abandon constitutional changes smoothing his re-election path

  [​IMG]
  Anti-government protesters in Senegal vowed to intensify their campaign to block President Abdoulaye Wade from standing in next year's election after street demonstrations forced him to back down over constitutional changes.

  The capital Dakar was calm on Friday after violence on Thursday prompted Wade to abandon proposed changes to election law that appeared designed to smooth his path to re-election in February 2012.

  The protests, which saw more than 100 people injured, energised his vocal but mostly disorganised opponents, and may herald a turbulent run-up to the election in a country that has been spared the strife of others in west
  Africa
  .

  "The battle that was won does not put an end to our fight to restore law and order … and legitimacy," leaders of Don't Touch My Constitution!, the campaign group which led the protests, said in a statement. "One last battle remains: to make sure … Wade does not try and impose his candidacy in 2012. This would be illegal, illegitimate, inopportune and dangerous for the stability of Senegal and the sub-region."

  After years in opposition, Wade came to power in 2000 and is coming to the end of his second term. His supporters say constitutional changes in 2001 mean the first term did not count, so he is eligible to stand next year'. This, and the election law ploy, angered many in a country that has enjoyed decades of peace but where basic services like water and electricity remain poor in sprawling neighbourhoods, while an elite appear to prosper.

  "The people have taken back power" read a headline on Friday in the newspaper Le Populaire.

  In an editorial, private newspaper Walfadjiri said the protests were an unprecedented show of anger against the president. "(Wade) can no longer count on the apathy of the armchair opponents to modify the laws of the country as he wishes," the newspaper said.

  The Benno Siggil Senegal opposition coalition, which has struggled to build a united position against Wade, is to insist he does not stand next year.

  Senegal has become an increasingly important regional hub for business and international organisations. It is a strategic partner for western nations in a turbulent region.

  J Peter Pham, director of the Ansari Africa Centre at the Atlantic Council think tank, said Wade had disappointed after coming to power with "extraordinary promise".

  "His stubbornness and rather blatant attempt to foist a dynasty on the Senegalese people may well prove the ruination of a wonderful country if he gets the third term that he himself declared unconstitutional just a few years ago," Pham said.

  Aside from trying to reduce from 50% to 25% the minimum needed to win in the first round, Wade had sought to introduce the role of vice-president, which critics said might have been filled by his powerful and unpopular son, Karim.

  Top donors the EU and the US issued public statements of concern this week over the planned constitutional changes, saying they needed broader public debate.

  A senior international business executive said companies were watching the situation closely, in the context of uprisings in North Africa. "It is business as usual today ... But things could get nasty if (the opposition) pushes on that (Wade's candidacy)."

  Senegal protesters vow to block third term for president | World news | The Guardian
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Polisi wa Tanzania wajifunze kufanya kazi kwa weledi sio kupiga watu risasi bila sababu wananikera sana hawaoni wenzao wa senegal hawapigi mtu risasi!!!
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa janja yake ya kumpiga gadafi na kuwatammbua waasi wa libya kumbe ni zuga ili apte support ya Ulaya. Kweli africa ipo kazi
   
 7. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hivi hawa viongozi wa Africa wana matatizo gani jamaini?., Aaah!, Aibu kubwa hii!, Loh!
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  wewe huoni hao polisi wa senegal wanavyo vimiguu vya kuku kiuononi, kuvi handle ni rahisi kwa hiyo kumpiga mtu risasi lazima uwe umedhamiria kweli. Lakini wa kwetu silaha zao gobole ni ndefu mno ni ngumu ku handle gobole kwa hiyo lazima uwe umeliekeza mda wote kwa waandamaji na purukushani za hapa na pale lazima utakuta umeua. Teh teh teh,
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme

  28 Juni 2011 08:21

  ?


  Maandamano yamezuka katika mji mkuu wa Senegal, Dakar na katika jiji la kusini la Mbour kutokana na ukosefu wa umeme. Jijini Dakar, majengo kadhaa ya serikali yalichomwa moto, zikiwemo ofisi za shirika la umeme la serikali - Senelec.

  Majeshi ya usalama katika mji wa Mbour yalipiga mabomu ya machozi kutawanya maelfu ya waandamanaji.

  Tatizo la ukataji umeme, ambao umedumu kwa saa 48 katika maeneo kadhaa, limekuja wiki moja tu baada ya kutokea maandamano dhidi ya rais.

  "Mamia ya vijana walivamia ofisi za Senelec na kuzichoma moto," amesema mkazi mmmoja wa Dakar, Ismail Diop akikaririwa na Reuters.

  Chupa zilizovunjwa, mabaki ya majengo na matairi yaliyochomwa moto vimetapakaa mitaani, amesema mkazi huyo.

  Miaka mingi

  Mjini Mbour, karibu kilomita 80 kusini mashariki mwa Dakar, ofisi za shirika la umeme pia zilishambuliwa. watu walioshuhudia walisema ofisi za Senelec zilivunjwa na magari yaliyoegeshwa nje kushambuliwa pia.

  Senelec imeshindwa kutoa huduma ya umeme ya kuridhisha kwa miaka mingi.

  Wiki iliyopita, kulikuwa na maandamano mjini Dakar, yaliyotokana na pendekezo la rais Abdoulaye Wade kutaka kubadilisha katiba.

  Maandamano hayo yalikuwa ya kiwango ambacho hakijawahi kuonekana katika kipindi cha miaka 11 ya utawala wa Bw Wade.

  Gharama za maisha

  Rais huyo alitaka kupunguza kiwango cha asilimia kinachohitajia kushinda urais kutoka asilimia 50 hadi 25 ili kuepuka duru ya pili katika uchaguzi.

  Wakosoaji wamesema marekebisho hayo ya katiba yamelenga kuhakikisha Rais Wade, ambaye ana umri wa miaka 85, anachaguliwa tena mwakani.

  Bw Wade alingia madarakani katika uchaguzi wa kidemokrasia, lakini sasa anakabiliwa na ongezeko la hasira kutoka kwa wananchi kutokana na matatizo ya umeme ya kila siku na kupanda kwa gharama za maisha.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  typically Tanzaniaaa.tunangoja nini?
   
 11. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
 13. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unafiki hamliwezi hilo ...
   
 14. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  naona kwanza tuanzeni na Wizara ya Nishati na kumalizia tanesco pale ubungo na Sharabalo akileta ujinga wake tumiingilieni huko magogoni
   
 15. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hii nchi ya kipumbavu sana. Inafikia wakati mtu unaona kama kuwa mtanzania ni upumbavu pia. We waziri anasoma megawatts kwa miaka 6 sasa lakini anachekewa. Dr Rashid alionekana fisadi lakini huyu mkurugenzi wa saiz ndio fisadi zaidi, hana hata moja la kismulia. nani atuongoze kuingia mtaani kudai umeme wakati huu ambao hata tegemezi letu Dr Slaa amekuwa muoga kuazisha move
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Maandamano yamezuka katika mji mkuu wa Senegal, Dakar na katika jiji la kusini la Mbour kutokana na ukosefu wa umeme. Jijini Dakar, majengo kadhaa ya serikali yalichomwa moto, zikiwemo ofisi za shirika la umeme la serikali - Senelec. Majeshi ya usalama katika mji wa Mbour yalipiga mabomu ya machozi kutawanya maelfu ya waandamanaji. Tatizo la ukataji umeme, ambao umedumu kwa saa 48 katika maeneo kadhaa, limekuja wiki moja tu baada ya kutokea maandamano dhidi ya rais. "Mamia ya vijana walivamia ofisi za Senelec na kuzichoma moto," amesema mkazi mmmoja wa Dakar, Ismail Diop akikaririwa na Reuters. Chupa zilizovunjwa, mabaki ya majengo na matairi yaliyochomwa moto vimetapakaa mitaani, amesema mkazi huyo.

  Miaka mingi

  Mjini Mbour, karibu kilomita 80 kusini mashariki mwa Dakar, ofisi za shirika la umeme pia zilishambuliwa. watu walioshuhudia walisema ofisi za Senelec zilivunjwa na magari yaliyoegeshwa nje kushambuliwa pia. Senelec imeshindwa kutoa huduma ya umeme ya kuridhisha kwa miaka mingi. Wiki iliyopita, kulikuwa na maandamano mjini Dakar, yaliyotokana na pendekezo la rais Abdoulaye Wade kutaka kubadilisha katiba. Maandamano hayo yalikuwa ya kiwango ambacho hakijawahi kuonekana katika kipindi cha miaka 11 ya utawala wa Bw Wade.

  Gharama za maisha

  Rais huyo alitaka kupunguza kiwango cha asilimia kinachohitajia kushinda urais kutoka asilimia 50 hadi 25 ili kuepuka duru ya pili katika uchaguzi. Wakosoaji wamesema marekebisho hayo ya katiba yamelenga kuhakikisha Rais Wade, ambaye ana umri wa miaka 85, anachaguliwa tena mwakani. Bw Wade alingia madarakani katika uchaguzi wa kidemokrasia, lakini sasa anakabiliwa na ongezeko la hasira kutoka kwa wananchi kutokana na matatizo ya umeme ya kila siku na kupanda kwa gharama za maisha.
   
 17. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anza wewe kama umejichoka.........Vyombo vya ulinzi na usalama vinawashwa mikono vinaposikia kauli kama zako.

  Hata hivyo inaeleweka kuwa wengi humu JF mmekalia kuponza vijana wetu wa mitaani tu, hamna ujasiri wa kufanya mnayohimiza.
  Mnasubiri maiti za mliowaponza ili mzitumie kisiasa kama mlivyofanya Arusha na Nyamongo. Mmelaaniwa manyang'au ninyi!!
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  jamani yale mashangingi pale rose garden tena wanavyolewa mpaka wamalize wanakuta harufu yatairi tu
   
 19. c

  charityboy Senior Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 20. c

  charityboy Senior Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nimerudi javini. Naomba nianze na mada hiyo hapo juu, tatizo letu la msingi kwa sasa tz.
   
Loading...