Recent content by cema

  1. cema

    JamiiForums Tanzania Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Jeshi la police limeshindwa tumieni majeshi mengine kama jw kunusulu maisha ya raia ni ushauri tu
  2. cema

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Asante
  3. cema

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Watakuja na kila aina ya rangi lakini hawatapenya

    Unatafuta kuteuliwa ww sio mzima
  4. cema

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa TISS mjitokeze kuondoa huu mkanganyiko, umbea na hofu ili Wananchi watulie

    Nchi hii ni ya wote kwa nini wawepo baadhi ya watu kwa utashi wao wawe na nguvu ya kuchukua haki ya wenzao ya kuishi ndani ya nchi yao, leo mnyama anathaman kuliko mwananchi? Majeshi yetu yako wapi? Kama taifa tujitathin tuliko toka,tulipo na tunakoenda. Nimuombe waziri wa mambo ya ndani pamoja...
  5. cema

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    East of eden Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
  6. cema

    JamiiForums Tanzania Tujadili homa ya Uti wa Mgongo(Meningitis)

    Hii nawasubili wenye makoti meupe na miwani
  7. cema

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

    Ardhini wengi ndo walipoutoa
  8. cema

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Katika maisha usipomheshimu mtu usitegemee na ww kuheshimiwa, tuliitana ndg enzi za Mwl leo ww unataka kila mtu akutukuze haaa mji huu wetu sote
  9. cema

    JamiiForums Tanzania Nilisikia kwamba eti...

    Nilisikia kwamba eti kuishi kwingi kuona mengi
  10. cema

    JamiiForums Tanzania THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Aisee nimevutiwa na maisha na matukio ya mark hakika huyu jamaa anapaswa Kuigwa
  11. cema

    JamiiForums Tanzania Prof. Rwekaza Mkandala alipotosha umma juu ya sakata la kumfukuza chuo Alphonce Lusako

    Huu mchezo umeota mizizi ndani ya vyuo vya umma wamegeuka miungu watu nina mengi ninayoyaona na kuyashuhudia ndani ya vyuo hasa vyuo vikuu viongozi ni miungu watu
  12. cema

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Huyu Mama Anna Mghwira ni hadhina kubwa sana ndani ya taifa Mama naamini kama jambo hili litatendewa haki na kulifanyia kazi utakuwa umesaidia sana watoto wengi wa masikini wenzetu katika nchi hii
  13. cema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi nzuri yenye mafundisho

    Nice story
Back
Top Bottom