Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

hii ni kazi isiyo na shukrani hata kidogo kwahiyo kama mtu unawaza kuingia huko ili uingie kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa mchango wako kwa taifa inabidi usahau.. ni kazi ambayo unapoteza kila kitu ili wananchi wengine wengi waishi kwa amani na furaha na hao hao ndo watakua wa kwanza kukusimanga jambo dogo linapoenda ndivyo sivyo. ni kama mdau mmoja hapa anaamini kumtolea bastola nape ndo kazi pekee wanayofanya usalama wa taifa!!.. ni wangapi wapo tayari kutoa michango hata ya maisha yao ila isitambuliwe wala kujulikana na watu wanaowasaidia?! kazi ambayo tokea unaianza unajua kabisa sponsor hatokupa msaada wowote, atakukana (plausible deniability) na utakua tayari kufa kuliko kuweka wazi uhusiano wako nae siku utakapoangukia kwenye mikono ya adui!! una infiltrate kikundi cha majambazi sugu wanaofanya organized crime, unaua nao watu, unafanya nao matukio ili wasikushtukie, unajua kabisa wakikushtukia tu ndo umeenda na maji na upo tayari.. acheni utani bana

Duuuuuuh
 
Du!! asante kwa nondo mkuu The Bold...
Uje utuandaliea makala ya jinsi ya kuanzisha Secret Society au majasusi wa kiuchumi.
ngoja nisome hii kitu kwanza nishibishe bongo...
We are sound the same ingawa kwa koment hii tayari nipo nje kuonekana!
 
Nchi nyingi zilizoendelea wanatoa matangazo kama ajira nyingine kuingia kwenye kazi ya usalama kwa Tanzania ukiwa tu na ndugu basi nawewe utaingia na mengine mengi.
Usiri ni ngumu kuwepo sababu hakuna siri ya watu wawili.
 
Mkuu The bold umegusa point nyingi muhimu, asante sana kwa dondoo muhimu.

Naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali hili jambo:
  • Je, Hivi hawa jamaa wakimuita mtu kwenye usaili wao (akafanya written na oral interview) yao, halafu wakamwambia muhusika watamuita ila unapita muda mrefu ukapita (Karibu 2yrs) na mawasiliano(simu ,postal adress,makazi ya muhusika,) na wakaja kumfatilia hadi kitaa muhusika kisha wakapotea ghafla, Je ina maanisha Nini?? Je bado wana muhitaji au ndo anakuwa haja kidhi vigezo??
  • Je wale referee anaowajaza muhusika wanaweza kuwa kigezo cha kufanya muhusika asije qualified to be recruited na hao jamaa..?

Yote ni majibu sahihi ila siyo kwa asilimia zote kabisa maana inaweza kuwa hufai au unafaa wanatafuta muda muafaka na unit ya kumfaa mtu huyo.

Je, imekutokea !?

Mwaga hapa mchele.
 
Aliac

Aliacha,alishindwana nao kwenye baadhi ya masharti

Hajafanyiwa upasuaji bila ganzi wala vipimo!?

Si tunasikia kitaani kuwa, mtu akiingia hakuna kutoka hadi msiba wake utangazwe na Muumba !?

Au alikuwa bado hajaanza kazi ilikuwa kwenye wakati kuandikishwa!?

Sasa huyo alitokaje
 
Jifariji,

Nawe unakuwa unafugwa siyo kuchunga tu.
activist, kupigania utu na haki za watu ni sawa na kuwalinda au kuwa mchungaji namaanisha.
Unachokitaka wewe wengine wanakikimbia kwenye hii dunia ilojaa dhulma na udhalimu kuanzia kwa watawala hadi raia wa kawaida tu hizi kazi za usalama wengi wanazikimbia sana siku hizi.
 
Duuuuuuh,

Sasa vyombo vya ulinzi na usalama nani atafanya kazi kama hali ndiyo Kama hiyo!

Na kwa nini watu wakimbie!?
 
....porojo tupu!
..kama UZALENDO ndo sifa kuu tusingefika hapa kama taifa!,
.TUSIDANGANYE!
 
Mungu awalinde TISS hiyo kazi napenda tuu kusikia nadharia zake vijiweni.

Nasikia siku hizi wakilewa tuu wanajitambulisha
Na asilimia kubwa wapo ndugu pale, na watoto wa vigogo. Nashangaa The bold hajaiweka kama njia ya recruit pia. Humu jf pia kuna watu wanapenda umfikirie kua yeye pia yupo kule sijui kwanini aseeee. Au zile suti na waya sikioni ndo zinawapa mchecheto bila kujua mateso wanayopata.
 
Hajafanyiwa upasuaji bila ganzi wala vipimo!?

Si tunasikia kitaani kuwa, mtu akiingia hakuna kutoka hadi msiba wake utangazwe na Muumba !

Au alikuwa bado hajaanza kazi ilikuwa kwenye wakati kuandikishwa!?

Sasa huyo alitokaje
Well ni kweli alitoka,siwezi kuweka details zake kwasababu ni member humu
 
Na asilimia kubwa wapo ndugu pale, na watoto wa vigogo. Nashangaa The bold hajaiweka kama njia ya recruit pia. Humu jf pia kuna watu wanapenda umfikirie kua yeye pia yupo kule sijui kwanini aseeee. Au zile suti na waya sikioni ndo zinawapa mchecheto bila kujua mateso wanayopata.
Hahaaaa eti suti washone tuu hata wakiwa walimu watapendeza tuu.....
 
Huyu mwl aliye wa brainwash mkaamini hivi na mpatia sifa zake.

Na washawasha!

Na asilimia kubwa wapo ndugu pale, na watoto wa vigogo. Nashangaa The bold hajaiweka kama njia ya recruit pia. Humu jf pia kuna watu wanapenda umfikirie kua yeye pia yupo kule sijui kwanini aseeee. Au zile suti na waya sikioni ndo zinawapa mchecheto bila kujua mateso wanayopata.
 
Dogo "The bold" unasema hujawahi na wala haupo idarani. Hii inatosha?
 
Back
Top Bottom