Ndio hizo!
Na sisi huyo mgonjwa wenu wa akili mwambieni hatuko tayari kuona Katiba ya nchi inachezewa kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu!!amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l
Ha ha ha haaaaa,, hivi huyu jamaa tukiwekwa kati na yeye,, yaani yeye huku na mitandao ya kijamii kule nani huwa anaongea pumba zaidi? Yeye si anaongoza kwa kuongea mambo ya hovyo hovyo? Hebu awaache wananchi wafanye yao na yeye aendelee kuchapa kazi. Hivi alifikri akishtukiza Bandarini ndo atauza kuliko Nape?Mitandao ya ovyo lkn ajabu yake na yy anasoma ahaaa tushachoka sisi waapishane tu huko haituhusu
Keshakuwa mzee wa mipasho, kila akisimama kuongea lazima atie vijembe
Na sisi huyo mgonjwa wenu wa akili mwambieni hatuko tayari kuona Katiba ya nchi inachezewa kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu!!
Yeye amemtuma Daudi ataje list kienyeji ilia awabambikie watu kesi huku Daud akimata unga kimya kimya na kwenda kuuza South Africa wanataka watu wakae kimya?Inasikitisha na kutia hasira kuona sasa Tanzania tunapangiwa tusikilize na tujadili nini kwenye media. Nashangaa hii kauli aliyojikasirisha kuwa tujadili maendeleo. Inawezekana hata neno maendeleo hajui maana yake.
Sidhani kama maendeleo yanakuja kwa kuyajadili hata siku moja bila kujadili pasonalities. Yeye huyu huyu ndye aliyekuwa akitumia pasonality kama main agenda kipindi cha uchaguzi.
Mi nimeshangaa kashindwa hata leo kukemea yule sijui shushushu aliyemtolea bastola Nape. Kwake kaona kama personalty ila hatambui brain damage iliyo fanyika hapo. Hatambui kuwa ni picha gani watanzania wameipata juu ya nchi wanayodhani ni huru.
Sasa kama yeye kasema hapangiwi hafanyi nini asitumangemange na sisi. Kila mtu afanye yake. Acha tuongelee personality, yeye aongelee maendeleo na mwisho wa siku tutaona who is the winner.
Siku hizi akiwa nyumbani ikulu husoma sana jinsi Sadam Hussein alivyotawala maana anataka kuwa dikteta hatari kuliko akina Bokassa, idd Amin na wenzake.Ukiona habari inaandikwa sana ujue ndio inayouzwa sana wakati huo. Yaani jamii inaihitaji. Na kama kitendo hicho hakikupendezi ujue upo kinyume na jamii. JISAHIHISHE.
Masharti hayo yanatofautiana Da... Unadhani mikopo yote ya WB au IMF masharti yake yanafanana, Elimu my ass Usilete ujinga wa Maduduli anayejifanya Mjuaji wa kila kitu. Masharti ya Mikopo ya mikopo ya WB na IMF kwa nchi Riba inategemea Credit Rating ya hiyo nchi, pamoja na Uwezo wa kulipa eg, Kila nchi ina Credit Ratting Mfano Kenya ina B+ = 41 Swiss US UAE zina AAA sawa na 100 points Tanzania Wana B- Point 25. Next time Usiparamie watu Bashite!Umeandika upuuzi huu, mikopo ya WB am IMF ni historia ya muda mrefu, karibu mataifa yote yanayoendelea na yaliyoendelea yana historia ya kupewa mikopo ya masharti .... "Elimu ni jambo la maana sana" Hata Bank za nchini mwako hukopesha raia kwa masharti wakati wa kulipa
Unachekesha kwani nani kasema masharti ni flat rate kwa nchi zote! unaleta habari mpya kujifanya umesoma...Hata riba za bank za hapo nchini kwako zinatofautiana.... Unataka kufananisha uchumi wa kenya na Tanzania! Hata strength of Kenyan currency ipo juu 1:18 sometimes 1:20 oscilatting thereMasharti hayo yanatofautiana Da... Unadhani mikopo yote ya WB au IMF masharti yake yanafanana, Elimu my ass Usilete ujinga wa Maduduli anayejifanya Mjuaji wa kila kitu. Masharti ya Mikopo ya mikopo ya WB na IMF kwa nchi Riba inategemea Credit Rating ya hiyo nchi, pamoja na Uwezo wa kulipa eg, Kila nchi ina Credit Ratting Mfano Kenya ina B+ = 41 Swiss US UAE zina AAA sawa na 100 points Tanzania Wana B- Point 25. Next time Usiparamie watu Bashite!
Tumuombe Mungu atunusuluSiku hizi akiwa nyumbani ikulu husoma sana jinsi Sadam Hussein alivyotawala maana anataka kuwa dikteta hatari kuliko akina Bokassa, idd Amin na wenzake.
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.
"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"
Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo.
Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo.
Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l
Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamtaki kumwandika si masiandike yote mazuri na mabaya"