Recent content by Cathsandra

  1. C

    JamiiForums Tanzania IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    Majibu kwa Brother Zitto Kabwe. 1. Hoja ya Zitto Kabwe kwamba suala lililo mahakamani linaweza kujadiliwa ni tafsiri mfu na potofu kwa sababu yapo maamuzi kadhaa ya mahakama ya Rufani na mahakama Kuu yanayo haramisha kujadili masuala ambayo mahakama inafanyia kazi ili isiathiri maamuzi ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania DAWASCO ya Samia vs DAWASCO Magufuli

    Mimi mkazi wa Makongo Juu, tulianza kupata huduma ya maji ya DAWASCO takriban miaka minne Sasa, huduma Kwa wateja was the best huko nyuma, mpaka Sasa huduma sio mbaya ila changamoto iliyopo Kwa wateja wapya, watu wameomba kuunganishiwa maji tangia mwezi wa saba mpaka Sasa tunaambiwa vifaa hamna...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu

    Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu, HEBU TAZAMA; 1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA 2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu 3.Mpira wa miguu tatizo TFF iliyo chini ya BMT Hizi taasisi zote zipo chini ya wizara ya habari,sanaa na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Summarise
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Nilipiga moja kwa traffic jam hapo maeneo ya junction ITV mwenge katikati ya foleni
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    784220222
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Triple 7 Bar Mikocheni acheni wizi

    Bar yetu ya triple 7 iliyoko mikocheni ina hadhi nzuri na tunaipenda napenda usifu uongozi kwa kutujali kwa maandhali mazuri, ila nimegundua wahudumu wao wanaweza isababishia bar hii kushuka thamani kwani huwa wanabambika Sana bill, chakula Cha 10,000 wanaongeza 3000 unaletewa bill ya 13,000...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    kaka hujaelewa, anamaanisha ana ukakika wa 90% kuwa kilichopo humo kwa container ni sio mchanga peke yake Bali madini pia yapo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Clouds wahaha baada ya kum-record mwanamke anayedai kazaa na Askofu Gwajima

    Katokana na kinachoendelea kuwa Soud Brown aka SHILAWADU ku-record video ya kumuhoji mwana mama anaedai amezaa na Gwajima, huku Clouds wakidai kuwa Makonda alitumia nguvu katika kutekeleza tukio hili; Uongozi wa juu wa Clouds umeitisha mkutano wa dharura kwa staff wote hata kama uko likizo but...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Africa swahili Tv na Africa swahili Fm ni mmoja?

    Mmiliki ni Davis Mosha only, William ni kama kawaida yake le mpambes, le mshkaji
  11. C

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Sasa si wamalizane na madawa kwanza au
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

    Mmmh mchagaaaa!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Polisi yamzuia askofu Mokiwa Bukoba

    Mokiwa anatughalimu sana Wana Anglican, mnatufanya tuchukie kanisa letu, hautakiwi na majority ya waumini kila Kona, jaribu kuwa na busara na umeweke Mungu mbele, kwani kuwa na kashfa TU ukiwa kama kiongozi WA Dini automatically haufai kuendelea kuwaongoza wanakondoo, Please please tuachie...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

    Labda ubabe uendelee but ccm hawana nafasi Arusha, nasema hivi mimi mwenyewe nikiwa ni ccm
  15. C

    JamiiForums Tanzania Enzi zile za Mwalimu

    Kwa kip kipindi hicho utoe wapi kitambi wakati kila sehemu unaenda kwa mguu
Back
Top Bottom