Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

Baada ya kauli hiyo, Spika alimhoji mwakilishi wa TMAA “kwa kufikiri kwako unadhani kuna mwekezaji anaweza kufanya biashara kwa faida ya 0.02? Atoe gharama za meli, usafiri na bandari.”
Alijibu haiwezekani.
Alafu kale ka Heche kanajaza wafuasi wake ujinga kule FB
 
Ul

Inawezekana ulimsikia lakini kumwelewa ndo issue. Eng hakusema na wala hajamaanisha kwamba 90% ya kilichomo kwenye containers ni dhahabu bali kamaanisha ana uhakika kwa 90% (confidence level of 90%) kwamba mle ndani kuna dhahabu. Dhahabu kwa kiasi gani, itajulikana baadaye.
Kama ndo hivi wala hakuna haja ya kuvutana kabisa na ndiyo maana kuna hatua ya ku smelt ili kupata madini yaliyochanganyikana mumo kwa mumo
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
Kinachozungumzwa hapa ni % ya madini, kawaida ya dhahabu ikiwa kuna recovery ya 7% + basi huo mradi unajilipa ( yaani katika kila tani moja ya mchanga wa dhahabu unatoa 7% ya dhahabu safi), sasa huyu mtaalamu anayesema ana uhakika wa 90% kuna madini humo, ana maana mchanga huo una content ya madini aina ya Dhahabu , cooper , nk, kwa zaidi ya 7%. Kwa hivyo ni madini kisheria na hao wawekezaji wanakwepa kodi na malipo mengine kama ilivyo kwenye mikataba.

Tusimdharau huyu mtaalamu asemalo linaleta tija, dawa ni kuyafungua kwa hesabu za serekali na wawekezaji wakialpatikana na hatia , walipishwe gharama zote na faini stahiki.
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
Asilimia 90 ni uhakika alionao kakoko uwezekank wa makontena kuwa na madini sio mchanga 0.02
 
Kwa ufupi tunaingilia fani za watu na tunatamka vitu tusivyo na utalaam nao.

Kuna kitu ambacho naona ndo kinaleta mkanganyiko wote huu nacho ni neno "MCHANGA". Kwa mtu wa kawaida akisikia neno mchanga moja kwa moja anafikiri ni kama mchanga wa baharini ambao hauna thamani kitu ambacho ni tofauti na kitu kinachoitwa mchanga kutoka Migodini (yaani CONCENTRATE). Kwa sisi watalaam ukisema MCHANGA ni sawa na ule wa Baharini ambao ni >90% SiO2 (Silica) na kwa huu ambao uko kwenye containers ni CONCENTRATE

Kwa kifupi concentrates inatokana na concentration process (kwa mfano una mwamba wenye dhahabu (ore) ya gram 3 kwa kila kilo 1000 za huo mwamba na unafanya concentration process (froth flotation) na mwisho wa siku unongeza uwingi wa dhahabu na kufikia gram 200 kwa kila kilo 1000 za hiyo ore. Kumbuka kuweza kupata hiyo 200 grams of gold per 1000 kg (1 tonne) of concentrates ina stages nyingi tu: Mining => crushing=> grinding=> classification=>froth flotation=>drying etc.
Mara nyingi jina la hiyo concentrate ( mfano copper concentrate, gold concentrate etc) linategemea ni madini aina gani yenye asilimia kubwa kuliko mengine (Kumbuka concentrate yote ni madini yaani 100% ila si madini yote kwenye hiyo 100% yana thamani kwa wakati huu may be in future). Hii migodi yetu yenyewe inazalisha COPPER CONCNTRATE. Na kwa experience tu metallurgical compositions ya hii concentrate kutoka Buzwagi na Bulyanhulu kwa kila tani moja (1000 kg = 1 tonne):
  • about 18% to 25% copper (about 180 kg to 250 kg copper )
  • about 200 grams gold (= 0.02%). Mfano:chukulia kila tani moja (1000 kg) hiyo CONCENTRATE (mchanga) una grams 200 (0.02%) na kila contena moja lina tani 20 (normally 18 to 30 tons). Kwahiyo container moja lina 200 x 20 = 4000 grams = 4 kg of gold. Kwahiyo kwa containers 256 = 4 kg x 256 = 1024 kg of gold
  • about 200 grams silver (0.02%)
  • about 30% iron (about 300 kg iron=chuma)
  • + small fraction other metals which might be currently valuable
Kwahiyo ukitamka neno MCHANGA peke yake naona linapotosha na ni bora kutumia neno MCHANGA WA MADINI. Hapa labda tutaomba watalaam wetu kiswahili (TATAKI) watusaidie.
Kwahiyo Eng. Kakoko anaposema kwenye hayo makontena kuna madini kama ni contena zilizotoka mgodini ni kweli kutakuwa na madini na lazima kutakuwa na dhahabu. Kitu cha msingi hapa ni kujua ni yapi na kwa kiwango gani yaliyomo kwenye hizo containers. Na kwa kifupi Kakoko na office yake hawana machine za ku analyse hiyo concentrate kujua:
  • Kama kuna dhahabu ni kiasi gani?
  • Kama kuna copper ni kiasi gani?
  • kama kuna silver ni kiasi gani?
  • etc
Isipokuwa watakuwa na metal detector ambao itakuonyesha kuwa humu kuna madini au humu kuna dhahabu lakini si kiwango cha dhahabu.

Ili kuweza kujua nini kimo na kwa kiwango gani kwenye hizo containers, sample zichukuliwe na kufanyiwa analysis. Lakini pia tusisahau kuwa mikataba ya madini inatambua concentrate kupelekwa nje kwa ajili ya smelting na refining. Kwahiyo ni vizuri mikataba kupitiwa upya.
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
kaka hujaelewa, anamaanisha ana ukakika wa 90% kuwa kilichopo humo kwa container ni sio mchanga peke yake Bali madini pia yapo
 
Ni.pale kakoko anapobishana na watalaam wa madini je asilimia 90 alipima kwa mashine zipi?? Mana wenzie wanaongea kulingana na matokeo ya vipimo walivyofanya. Ni vizuri spika kaunda kamati
Sasa ndio tuambiwe 0.02%????
 
Hivi, Huyu kakoko Ndio Yule alivunja ukuta wa hotel iliyozinduliwa na JK Arusha miaka ile??
 
Uyo mkurugenzi ana roho mbaya amekuja kuhiaribu bandari wafanyakazi wanalalamika kwanza mbinafsi, mkabila ana roho mbaya, hana ushirikiano na wafanyakazi anawabana, yeye kila siku anasafiri kwenda ulaya, na hadi wafanyakazi wamemchoka kwa muda mfupi tu tangu ashike bandari, anawachongea wenziwe na wakubwa wenzake wanafukuzwa, nae uyo jipu anatakiwa achunguzwe na rais, asikilizi wafanyakazi wala nini..!!!
 
Kakoko (DG Bandari) anasema yale Makontena zaid ya Miambili yamejaa madini wakat Prof anamwambia yamejaa Mchanga wenye madini.

Kontena lijae Dhahabu halafu Kaburu aruhusu likae kizembe Zembe Bandarini! Imagine Gram moja tu gram sio kg ya Dhahabu ni zaid ya laki moja halafu Kontena Miambili ziwe zimejaa Bandarini

DG wa Bandari hataki Yale Makontena yafunguliwe Kuona kilichomo kwa kuwa anajua Rais ataumbuka ukikutwa Mchanga wenye Madini badala ya Madini kwa kuwa Rais alishasema Ikifunguliwa Watanzania hatutaamini

Katibu Mkuu yeye alitaka Kontena zifunguliwe Wataalam waone kilichomo na vipimo vipelekwe Maabara na Spika Ndugai akakubaliana na wazo Hilo na akaahidi kuunda hiyo Tume.

Huenda Rais hajapenda Bunge kuingilia hili Sakata sasa hasira zake kupeleka kwa Katibu Mkuu na kumfukuza. Hata akiteuliwa Katibu Mpya naamini hatotoa ushirikiano kwa Bunge na Kamati teule!

Yale Yale ya Nape, Chagua kuwa Upande wa Ukweli au wa Rais!
labda alihesabu mchanga kama madini, kuna shida kubwa sana Tanzania
 
Mkuu hujaelewa....rudia kusoma kauli ya mhadisi ...anahuhakika wa 90%...anaaamini kabisakabisa. hajasema kilichomo 90% ni madini. He has 90% confidence what is inside mostly gold....He believe highly.

Aliyekuwa Katibu Mkuu huyo alitoa ushauri ambao ulionekana kupingana na maelezo ya Mhandisi Kakoko ambaye alidai ana uhakika wa asilimia 90 kuwa kilichomo kwenye kontena hizo ni madini na siyo mchanga.
kakoko kasomea nini
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
Kontena moja la futi 20 linaweza kubeba tani ngapi za mchanga?
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.
Kumbe ndio maana Trump alisema Africa inatakiwa kutawaliwa tena kwa sababu ya wendawazimu kama ninyi
 
Mmoja anatoa ushauri wa kitaalam na kisayansi anataka wakapime maabara.
Mwingine ameshafikia hitimisho kuwa hiyo ni dhahabu.....

Pale weredi unaposigana ujinga. Ujinga huwa unashinda siku zote.
 
Jamani hata kama huna akili kiasi gani huwezi fikia hitimisho la huyo anayejiita mhandisi. 90% iwe madini? Au hesabu za % hazipandi. Hata kama hao wawekezaji wakijaza dhahabu walizochimba kwenye makontena na kuchanganya na mchanga kidogo huwezi jaza makontena 256!!! Ni wazo la kipumbavu kabisa.

hapo huja muelewa kakoko.
hiyo sentesi inaamaanisha anauhakika sana ya kuwa ndani ya kontena kuna madini.? na si kama unavyofikiri wewe kwamba madini ni asilimia90.
soma tena majibu ya engineer.
au ni sawa na wewe ukute dirisha la nyumba limevunjwa usiku halafu tv imeibiwa.hapo unaweza sema mwizi akie iba tv ninauhakika 90% amepitia dirishani.
 
Wizi unafanyikaga kwenye data. Mchanga kuwa na 0.02% ya madini yeyote. TMA wanatakiwa kuwajibika
 
Back
Top Bottom