johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,307
Polisi mkoani kagera wamemzuia askofu Mokiwa aliyetumbuliwa na Askofu mkuu wa anglican kuhudhuria sherehe za kumsimika askofu wa dayosisi moja ya mkoani humo.Source Mwananchi
Imani yako itakuponyaAskofu Mokiwa umefanya niachane na kanisa Anglican.
pesa nduguu...za kirahisi rahisiUnang'ang'ania kuongoza wasiotaka uwaongoze maana yake nini? Askofu mzima anakuwa na mambo ya kitoto kama lipumbazi.
Mokiwa anatughalimu sana Wana Anglican, mnatufanya tuchukie kanisa letu, hautakiwi na majority ya waumini kila Kona, jaribu kuwa na busara na umeweke Mungu mbele, kwani kuwa na kashfa TU ukiwa kama kiongozi WA Dini automatically haufai kuendelea kuwaongoza wanakondoo, Please please tuachie kanisa letu mnatuvuruga sana na hao ma padri wako uliowaonga viwanja vya buza