Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu

Cathsandra

Member
Jul 11, 2016
16
75
Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu,

HEBU TAZAMA;

1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA

2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu

3.Mpira wa miguu tatizo TFF iliyo chini ya BMT

Hizi taasisi zote zipo chini ya wizara ya habari,sanaa na michezo,ninachojiuliza hii wizara ina shida gani,kuna nn nyuma ya pazia
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,582
2,000
Kupitia tukio la leo la mechi ya Yanga na Simba nimejifunza kitu,

HEBU TAZAMA;

1.Wasanii wa muziki wanalalamikia BASATA

2.Wasanii wa Filamu wanalamikia bodi ya filamu

3.Mpira wa miguu tatizo TFF iliyo chini ya BMT

Hizi taasisi zote zipo chini ya wizara ya habari,sanaa na michezo,ninachojiuliza hii wizara ina shida gani,kuna nn nyuma ya pazia
Zinaongozwa na siasa badala ya weledi... Na hiyo wizara hupewa mawaziri kama zawadi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom