Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jim007 2, Jan 10, 2017.

 1. Jim007 2

  Jim007 2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
  A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
   
 2. alexander paschal

  alexander paschal Member

  #21
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2017
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  duuuh hatari
   
 3. kinena

  kinena Member

  #22
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 29, 2016
  Messages: 83
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Akili za Deo Kisandu hizi
   
 4. kinena

  kinena Member

  #23
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 29, 2016
  Messages: 83
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Siasa ni maisha siasa ni kazi....Siasa ndio zinaamua mustakabali wako....bahati mbaya sana madaftari yako ulitupa chooni wakati wenzio wanasoma hivyo pambana na hali yako.
   
 5. kinena

  kinena Member

  #24
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 29, 2016
  Messages: 83
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Hahaha wanasema wanahujumiwa
   
 6. Azarel

  Azarel JF-Expert Member

  #25
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 25, 2016
  Messages: 3,363
  Likes Received: 3,093
  Trophy Points: 280
  CCM haikubaliki ARUSHA kamwe.
   
 7. M

  Mwasita Moja JF-Expert Member

  #26
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 2,366
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Wananchi wamechoshwa na majizi na matapeli wa kisiasa chadema
   
 8. bopwe

  bopwe JF-Expert Member

  #27
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 1, 2013
  Messages: 842
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Kukubika kumfunga mbunge
   
 9. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #28
  Jan 10, 2017
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 9,722
  Likes Received: 2,889
  Trophy Points: 280
  Somo limeeleweka, mafuriko yamebakia kwenye mito tu,
   
 10. Mbulu

  Mbulu JF-Expert Member

  #29
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 2,657
  Likes Received: 1,938
  Trophy Points: 280
  Hivi ile kampeni ondoa mashoga iliishia wapi?
   
 11. f

  freddy1974 Member

  #30
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 21, 2016
  Messages: 61
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Hiyo picha imekatwa. Aliyeipiga hivyo ameikata makusudi ili ajifurahishe tuu. Na ni aina fulani ya uchovu wa fikra
   
 12. ILAN RAMON

  ILAN RAMON JF-Expert Member

  #31
  Jan 11, 2017 at 12:20 AM
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 5,717
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280

  Hahaha hivi kumbe zile ghala za unga limited Nazi ni viwanda???
   
 13. ILAN RAMON

  ILAN RAMON JF-Expert Member

  #32
  Jan 11, 2017 at 12:22 AM
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 5,717
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  Hajaha ccm wakishinda mateves uje nivalishe dera
   
 14. Mmawia

  Mmawia JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017 at 6:38 AM
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 49,044
  Likes Received: 12,796
  Trophy Points: 280
  Ccm kwa Arusha msahau kama tulivyo usahau ugonjwa wa ndui nchini Tanzania
   
 15. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017 at 6:41 AM
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 814
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha picha ya Tundu Lisu kwenye uchaguzi 2010 iliripotiwa na ITV.. kilichofusta nafikiri mnakielewa..
   
 16. C

  Cathsandra Member

  #35
  Jan 11, 2017 at 6:43 AM
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 5
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Labda ubabe uendelee but ccm hawana nafasi Arusha, nasema hivi mimi mwenyewe nikiwa ni ccm
   
 17. shibumi

  shibumi Member

  #36
  Jan 11, 2017 at 6:49 AM
  Joined: Dec 14, 2016
  Messages: 62
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 40
  Watu wa kaskazini hawana tena haja ya kuacha shughuli zao kwenda Kwenye mikutano..
  Walishafanya maamuzi siku nyingi sana.. Ni kuifuta ccm kabisaaa.. Na wamefanikiwa kwa asilimia 99
   
 18. aye

  aye JF-Expert Member

  #37
  Jan 11, 2017 at 6:52 AM
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,794
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  tutaitaji kujua matokeo baada ya uchaguzi
   
 19. tamuuuuu

  tamuuuuu JF-Expert Member

  #38
  Jan 11, 2017 at 6:58 AM
  Joined: Mar 10, 2014
  Messages: 4,384
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Picha ipo nusu,hebu tuoneshe upande alioangalia!unafiki Na uzushi sio mzuri.
   
 20. doama

  doama JF-Expert Member

  #39
  Jan 11, 2017 at 7:02 AM
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 398
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Mbona kama hao wako nyuma ya jukwaa nikiangalia na anapotazama huyo katibu
   
 21. v

  vizuri Member

  #40
  Jan 11, 2017 at 7:07 AM
  Joined: Dec 1, 2016
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Wamesoma no mpaka wamejificha
   
Loading...