DAWASCO ya Samia vs DAWASCO Magufuli

Cathsandra

Member
Jul 11, 2016
17
51
Mimi mkazi wa Makongo Juu, tulianza kupata huduma ya maji ya DAWASCO takriban miaka minne Sasa, huduma Kwa wateja was the best huko nyuma, mpaka Sasa huduma sio mbaya ila changamoto iliyopo Kwa wateja wapya, watu wameomba kuunganishiwa maji tangia mwezi wa saba mpaka Sasa tunaambiwa vifaa hamna, havijaja.

Ningependa kufahamu kwanini vifaa havipo mpaka miezi mitatu na zaidi, mbona miaka ya nyuma hili tatizo halikuwepo?

Bills za maji mnakusanya on time, ukizidisha mwezi tu unakatiwa, nikimaanisha pesa ipo mnakusanya, Sasa tatizo ni Nini, au hujuma ya kuuangusha utawala wa mama Samia, na kwanini mnaendelea kutoa Control number ya connection mpya wakati mkijua hamna vifaa, kila connection mpya si chini ya laki mbili, mnakusanya tu pesa huduma hakuna huo si utapeli?

Nani Yuko nyuma ya hili?
 
Miaka ya nyuma ilikuwa hanamna kabisa maji huko. Apewe mauwa yake Kikwete.
 
Back
Top Bottom