Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Acha kudanganya na picha za Malick Sidibe toka Mali. Ni wazi haukuwepo enzi za Mwalimu.Wacha weee
![]()
Acha kudanganya na picha za Malick Sidibe toka Mali. Ni wazi haukuwepo enzi za Mwalimu.Wacha weee
![]()
[emoji23][emoji23] wewe mtafiti bingwa, hizi iPhone zinatia aibu watuMiaka ya 2000 watu walikuwa wanatundika vimobiteli kifuani kama cheni,angalia video ya zeze ya TID,ni sawa na skuiz mtu akinunua iphone 6-7 maselfi kibao kwenye kioo watu waone [emoji519] alama ya apple kwa hyo huyo kwa enzi zake alikuwa sahihi kabisa kwenda na stereo yake kupiga nayo picha
Siyo Belle9 huyu??[emoji23][emoji23]
Haya masgati makali sana, then sahv yamerudi yako poa sana, bei yake pia iko poa, ni mazuri.
Nishayapanda enzi za uda miaka hiyo yalikuwa yanaitwa ikalusi.
Pengine ndio alikuwa bibi yako huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani ningekuwa Kijana wa enzi hizo, kwasababu:-
Mademu walikuwa wapo kiasili zaidi.
Maradhi hayakuwa mengi, yaani Mtu unajitelezea tu CHAPEKU, sio haya mambo ya kuvaa vaa Mipira, kwa kweli ni usumbufu wa hali ya juu.
Huyu DEMU wa kwanza kushoto CHUCHU zake zimenichanganya kinoma, ana CHUCHU tamu sana
![]()
Wapi ntapata hili shati?,la kibabe sana.Alafu nimegundua enzi hizo matipwatipwa na wenye vitambi hawakuwa wengi kama skuiz,katika hizo picha sjaona kitambi hata kimoja
Angalia usije ukamtukana babu yako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh! Walikuwa washamba kweli!
Asije akawa ni bi mkubwa wako?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyo du anayejivisha heleni vichuchu vidogooooo...hako unabugia kote mdomoni
Ha ha umeniwahi mkuu. Huyu atakuwa baba yake tehSiyo Belle9 huyu??
Haya mashati tunavaaa tena now a day
Mhuu labda kama watakuwa wanatembea uchi. Manake sasa hivi tu kwa kizazi cha watoto kwa kiasi kikubwa kwenye mavazi mwanamke na mwanaume hawatofautiani. Na wengine wanavalia suruali karibia na kagotini.Miaka hamsini baadae watakaokuwepo wakiangalia picha yako watakukona mshamba.
Labda wengine hawakuziona,au hawakutosheka nazo ndio mana bado wanachangia mkuu.Hizi zishaletwa humu jf thread zikiwa nyingi za kufanana nini maana yake?
mashamba kulikua hakuna au nayo kulima kwa foleni ?Kitambi kitoke wapi chakula chenyewe kukipata ilikuwa kwa foleni na resheni (ration).
Mie ni observer mzuri,alafu sio mtumwa wa fashoon,ila fashoon nazijua vyema za toka enzi hizo.and am a retro man[emoji23][emoji23] wewe mtafiti bingwa, hizi iPhone zinatia aibu watu