Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Nipo nicheki
 
Hongera sana kuwa na mawazo yaliyofunguka Mimi Nami nataka watu wa aina yako.Mimi Nina mke na watoto ila naweza kukufarij fani yangu nimesomea sayansi ya Jamii nimeajiliwa ni musukuma wa Bunda Mara nafanyia kazi Busega Simiyu mkoa mpya namba zangu ni 0766940499 karibu sana
Napita tu aisee..
 
Habari zenu wanajamvi

Natafuta rafiki wa kiume kwa ajiri ya kubadilishana mawazo mbali mbali niko mpweke sana na nina mawazo lukuki. rafik nimtakae awe na mika 26 na kuendelea awe ameo au hajao anakaribishwa kwan me namuhitaji kwaajiri ya urafik na sio mahusiano. Akitokea pande za kaskazin itapendeza zaidi.

Ahsanten
Mungu awanusuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom