Recent content by Cash Doro

  1. C

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Sina Hakika Juu ya Hilo Ila Nishawahi sikia Stori kadhaa kuhusu Rupia za Mjerumani Kuwa zimefichwa maeneo fulani hapa Tanzania Na hao wajerumani waliweka mazindiko makubwa sana kiasi kwamba mtu wa kawaida huwezi chukua, nasikia Nyerere alilijua hilo na ili kuzilinda( hii tuiite bora tukose wote)...
  2. C

    Shiriki shindano la #ChinaMade kujishindia simu ya Huawei au Xiaomi Arm Band

    #CHINAMADE Kijiji nachotokea ambako anaishi bibi yangu hakuna umeme hivyo walikuwa wanapata sana shida hasa kwenye kuchaji simu kwani iliwalazimu kwenda kwenye umbali usiopungua kilomita 30 ambako ndo kulikuwa na jenereta hivyo walisumbuka sana. likizo moja kama ilivyo ada nilienda...
  3. C

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    duh mi nina mti hapa nyumbani miaka nenda rudi unazaa mpaka zinanyauka sijui nizifanyeje ila kama ndo hivyo nielekezeni ili nami niweze kuvuna ili hatimae kama mtazihitaji tutawasiliana, kikubwa ambacho ningependa kujua ni kuwa kwa wakati gani zinavunwa? unatambuaje kama zipo tayari? mimi nipo Dar
  4. C

    Cement za Dangote zinapatikana wapi?

    Sio ufisadi, ikiruhusiwa kuuzwa kwa bei hiyo viwanda vingine vitakufa, kumbuka kwamba Kiwanda cha dangote ni kikubwa afrika mashariki na kati na pia Mahali kilipojengwa kuna deposit kubwa sana ya malighafi kuvizidi vile vya tanga,mbeya, twiga n.k hivyo kufanya hivyo kunaweza kuathiri hivi...
  5. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba asimamishwa uongozi, baada ya kukiri kusema uongo

    Mwigamba kaongea ukweli, alichobolonga kipi, soma alichopost kabla ya kureply kwa sababu zisizo na msingi
  6. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba asimamishwa uongozi, baada ya kukiri kusema uongo

    CCM hatuna Ukabila, Acha Upuuzi wako Ongea Yako yasiyokuhusu Achana Nayo, usiropoke Tu.
  7. C

    Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

    Hahaha tulia wewe wajaluo hatuna ishu hizo, @ mhusika; huyo Hakufai mpotezee
  8. C

    Mistari ya kisasa ya kutongoza kwa wale wasio na ujasiri

    Mbona hiyo ize we ukimuona unafunguka tu Mfano; Ujue nini mi nakupendaga kinoma sema nashindwaga kukwambiaga, sema leo uvumilivu umenishinda nimeona bora nikwambie tu. NAKUPENDA HIPHOP
  9. C

    Hali halis ya depo la jwtz

    Mi Nakumbuka Kauli Ya Mwalimu "Jeshi Sio Lelemama". Hivyo Amini Sio Kinyonge, Jipange!
  10. C

    Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

    Atakuwa Yeyote Yule lakini sio wa kutokea Kaskazini
  11. C

    Makabila mengine nayo wanaweza katerero?

    hah hah nilijifunza uganda hyo mnaoita cjui katerero ebanae ogopa sana mtoto lazma apagawe kigezo awe water logged akiwa jangwa majanga
  12. C

    karate tanzania

    tatizo kuna sehemu chache za kufundisha karate
Back
Top Bottom