Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,043
- 788
dangote cement inatengenezwa mtwara, haiwi importedKwa nchi hii ilivyo na maajabu, bado wanaruhusu sementi ya nje ya nchi kuingizwa nchini.
dangote cement inatengenezwa mtwara, haiwi importedKwa nchi hii ilivyo na maajabu, bado wanaruhusu sementi ya nje ya nchi kuingizwa nchini.
dangote cement inatengenezwa mtwara, haiwi imported
viwanda vya cement wamiliki ni wanasiasa
Wanatoa 25th December na bei bado hawajapanga....Mie ni wakala tayari kanda ya Mbweni