Recent content by Calipso

  1. C

    Dokta Khalid funika kombe mwanaharamu apite

    DOKTA KHALID FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE Na mwandishi Wetu Katika hali isiyo ya kawaida, Wizara ya fedha Zanzibar imegundua wizi wa fedha zaidi ya milioni mia tano (500m) uliofanywa na baadhi ya wahasibu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa utaratibu maalumu. Inadaiwa kwamba mtandao wa...
  2. C

    Aliepigwa risasi na polisi Mahonda - Zanzibar, afariki dunia

    Baada ya harakati za kwenda donge kufanya mhadhara jumuiya ya Muamsho,wakati wapo njiani maelfu ya wananchi walikutana na polisi wakiwa wameweka road-block ktk kiji cha mahonda njiani,wananchi hao wakaamua kukaa kitako chini kwa wote waume na wanawake,Polisi baada ya kuona hivyo wakaamua kupiga...
  3. C

    Ikiwa wananchi watajitokeza kwa wingi kutoa maoni yao, watapata KATIBA wanayotaka

    Leo katika harakati zangu za kimaisha nimebahatika kukutana na mmoja ya wajumbe wa Tume ya Katiba,kwa kuwa tunajuana na tunafahamiana uzuri, Tukasalimiana na kuulizana hali na baada ya salam nikampa pongezi za kuchaguliwa kwake kuwa Mjumbe wa Tume hiyo,ndipo yalipoanza hayo mazungumzo,baada ya...
  4. C

    Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Dogo nitake Radhi,sasa matusi ya nini,hizi ni tetesi hebu tuache wenye taarifa watatupa. Inaonekana Huyo MUkama na wewe hamna tofauti... kama huna hoja nyamaza usiwe kama wajinga
  5. C

    Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

    Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari.. Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Chadema kukutana siri mara kwa mara,hizi siri mimi ndio naziogopa,chupu chupu niachane na Cuf...
  6. C

    (Video)Sultani wa Zanzibar alivyofurahia mauaji ya Karume; alitarajia kurudi Zanzibar?

    Kwanini isiwe MR X,au ndo mnatafuta pakukimbilia na kupotosha ukweli halisi.. Itabaki kuwa ni MR X Aliemuua Karume. Hata hiyo video haionyeshi kabisa namna Sultan alivohusika. na huyo jamaa alikuwa hayupo na huko alipo alikuwa hana nguvu zozote.Ajabu mtu kama wewe kutuletea ajenda kama hii.. lkn...
  7. C

    CUF na serikali damu damu

    Sasa ndo nazidi kuamini kua chadema mpinzani wake ni Cuf sio ccm ya sabodo... lol! Slaa kachanganyikiwa na Tandahimba,kashangaa kuona bendera za Cuf kila pembe, ajabu ametumwa na ccm wakaziharibu ngome za Cuf,bahati mbaya anakutana na watu wanaojua mchele upi na pumba zipi,ndio maana...
  8. C

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Znz ikiwa mbioni ktk harakati zake za kulibakisha Jina la ZANZIBAR ktk ramani ya dunia na kujivunia Jina lao, Je! kwa upande wa pili wa Muungano ni Lipi jina linalostahikki kati ya TANGANYIKA NA TANZANIA BARA? Na kwanini Tanganyika wanakataa jina lao? NAKUKUMBUSHA TU, leo znz kama siku moja...
  9. C

    Malaki ya wazanzibar kuomba dua kubwa ktk harakat za kuikomboa znz usiku wa tar 25

    WAZANZIBAR wanawatangazia wazanzibari wenzao wote duniani kua siku ya jumatano tar 25 April Kuamkia siku ya alkhamis itafanyika dua kubwa msikiti mkubwa wa kidongo chekundu usiku mzima katika kuikomboa nchi yetu, na asubuhi ya tar 26 wazanzibari wote tutafunga safari ya kwenda viwanja vya...
  10. C

    Baina ya CUF na CHADEMA kipi CCM-B? - hoja ya matusi

    Baada ya malumbano marefu na ya siku nyingi tena ikiwa ktk maeneo tofauti na mada ya hapo juu ama ktk thread nyengine ambazo hazihusiani na kadhia hiyo,leo nimeona niweke thread maalum kwa kadhia hii baina ya Cuf na Chadema ipi ni CCM-B,ambapo humu hasa itakuwa ndio sehemu yake na kupeana point...
  11. C

    Ubunge Arusha: Natabiri CUF kusimamisha mgombea

    Inaonekana Adui wenu ni Cuf na sio ccm, na inaeonekana Mnaiogopa sana Cuf.. maana imekukaeni moyoni lol!
  12. C

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Mchakato wa kupata katiba mpya upo njiani huenda ikazaa katiba tatu Rasmi, TANGANYIKA, Zanzibar na ya Muungano.
  13. C

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    Nakubaliana na wewe kabisa kwa muono wako,nadhani unaungana na kina Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete pamoja na walowahi kuwa magavana wa benki kuu akiwemo Mtei na vile vile kina Sitta,Tundu lisu na wenzake ktk harakati zenu za kuizika znz kabisa ktk ramani ya dunia,na naamini mna agenda za siri sana...
  14. C

    Jimbo la chadema pemba....tume semeni

    GREAT THINKERS?????????????????/// Pemba na CCM NA CHADEMA wapi na wapi? sijaskia hata udiwani kupata chama chengine badala ya CUF pekeeeeeeeeeeeeeee. Tafakari kabla.
  15. C

    CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

    Nashindwa kuamini kama hii ni GREAT THINKERS. UTUMBO MTUPU NA UONGO MTUPU. NDUGU YANGU PROPAGANDA SIO KAMA HUU,BALI HUO NI UTUMBO. Najaribu kuhama JF kidogo kidogo kwa hali kama hizo. lol
Back
Top Bottom