Ubunge Arusha: Natabiri CUF kusimamisha mgombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge Arusha: Natabiri CUF kusimamisha mgombea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Apr 7, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ni uchokozi tuu kwa watani wetu CCM B kipenzi cha watoga masikio... Walikacha Arumeru kuona hawakubaliki.
  Sasa wanaweza kutumia akili ya Masaburi kuja Arusha kuchuana na Paka???
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hilo liko wazi. Watasimamisha mgombea sio kwa lengo la kushinda kiti, bali kupunguza kura za CHADEMA ili mabwana zao (CCM) washinde. Tegemea tuhuma za udini!
   
 3. by default

  by default JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watapata kura chni ya 100
   
 4. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Na TLP na NCCR, DP, UPDP, NRA, na SAU pia watasimamisha wagombea
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Bora chama kipya cha AIDS(a d c)
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Uamuzi wa CUF kugombea au kutogombea utatolewa na mheshimiwa sana bwana Jussa baada ya kufanya tathmini yakinifu ya idadi ya misikiti vs. makanisa
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hicho kiwahi kwa mzee wa kikombe
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Arusha haina Maustaadh wenye sifa za kugombea Ubunge. Ingekuwa Pemba au Lindi sawa.
   
 9. C

  Calipso JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaonekana Adui wenu ni Cuf na sio ccm, na inaeonekana Mnaiogopa sana Cuf.. maana imekukaeni moyoni lol!
   
 10. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  CUF,ADM,CHAUSTA,NRA,DP,DPP,TLP,NCCR.PPMAENDELEO,CCM,SAU,CHAPUTA,CHANETA,NEC,POLISI,aibu inawasubiri ARUSHA.cdm viva.
   
 11. m

  matawi JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Akina tlp sijui nani hawaachi kitu hata wakipata kura 1-1 wao wanasema something is better than nothing
   
 12. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani CUF imefufuka? kwi, kwi, kwi! Tangu lini marehemu wakamsimamisha mgombea katika uchaguzi Tanzania Hii
   
 13. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani wana haki ni chama kilichosajiliwa. Hawatapunguza kura kwani watagawana na CCM, sio chama cha upinzani hicho so wapinzani watabaki wapinzani. Jussa nae atakuja? namsubiri kwa hamu sijapata ona kiongozi mzandiki kama huyu (********) namhifadhi
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Na mimi natabiri kuwa 2015 rais wetu atakuwa ni LUSINDE kwani huyu kamanda ni mpiganaji sana na watu wote tunamkubali sana hasa baada ya kusaidia ushindi wa CCM arumeru.
  LONG LIVE KAMANDA LUSINDE.
   
 15. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Inaonekana mnamuogopa sn Jussa tokea amgalagaze yule kada wenu MARANDO kwny ule mdahalo wa Star tv
   
Loading...